latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania LATRA wapo kwa niaba ya nani?

    Wakuu nauliza hawa LATRA alieanzisha aliiweka kwa niaba ya nani? Wafanya biashara wa magari au kwaniaba ya wananchi? Mimi nina uhakika ipo kwaajili ya wafanya biashara wala si wananchi, kwasababu; mafuta yakipanda tu wafanyabiashara wanapiga kelele nauli ipande nao (LATRA) wanapandisha nauli...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

    Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania LATRA Mkoa wa Arusha haya mateso ya usafiri wa King'ori na Kikatiti yataisha lini? Daladala zinaishia Maji ya Chai. Abiria wanateseka

    Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo; 1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori 2. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kikatiti Haya magari kwanza hayaanzii safari sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu soko huru lichukue matakwa yake. Iache kupanga bei

    Yaani mpk leo TZ gvt inafanya command economy ya kupanga bei za vitu au huduma baada ya kuruhusu soko huru lichukue matakwa yake? Ndo maana hata uchumi haukui na ndio maana tunapata huduma za ovyo coz hamna international service provider atakuja hapa wakati mazingira ya biashara ovyo na mambo ya...
  5. JamiiForums Tanzania LATRA yakamata mabasi yanayochezea mifumo ya usalama Mkoani Arusha

    Baadhi ya wahusika wa mabasi ya abiria wanaochezea mifumo ya usalama na mwendo katika mabasi wamenaswa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha. Afisa Mfawidhi wa LATRA Mkoa wa Arusha, Joseph Michael ameongoza zoezi la ukaguzi katika maeneo tofauti katika maegesho ya magari...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sana

    Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
  7. JamiiForums Tanzania LATRA yaokoa jahazi abiria wa Rombo

    Kama mnavyojua ndugu zetu wachaga wanavyosifika kurudi makwao mwishoni mwa Mwaka au "kwenda kuhesabiwa"kama inavyojulikana na wengi,basi idadi ya mabasi ya kuwasafrisha huwa inazidi namba ya abiria. Kutokana na Hilo,Maofisa wa Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa ardhini(LATRA)katika mkoa wa...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Nauli za daladala Dar zinabadilishwa badilishwa makusudi, LATRA tusaidieni

    Ni wiki kadhaa tangia mamlaka zitangaze ongezeko la nauli( kulingana na kilometers). Lakini kuna mchezo mchafu unaendelea unaofanywa na makonda na madereva wa daladala ambapo wanapandisha nauli zaidi ya viwango tajwa. Wananchi wanashindwa kutetea kutokana na kuwa na ufahamu tofauti, unakuta...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi, LATRA wapiga faini mabasi yaliyozidisha nauli Arusha

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini kama Wananchi wanalipa nauli halali zilizotangazwa na Serikali mapema mwezi huu ambapo wamebaini baadhi ya wamiliki na mawakala...
  10. R

    JamiiForums Tanzania LATRA Tanga, RTO Tanga, nauli ya daladala ni kiasi gani kwa Tanga?

    Sasa daladala zinatoza Tsh 800. Zilipanda na kuwa Tsh 600, baada ya siku mbili wamepandisha mpaka Tsh 800. LATRA Tanga, bei elekezi ni ipi?
  11. JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa...
  12. JamiiForums Tanzania LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  13. JamiiForums Tanzania LATRA yavunja rekodi ongezeko la nauli, wananchi wataharuki, patashika kwenye madaladala, Viongozi wakaa kimya

    Mamlaka ya udhibiti wa usafiri ardhini(LATRA), imefanya mabadiliko ya nauli kwa mabasi na daradara siku chache zilizopita, huku ikiwa ni miezi kazaa tangu wafanye hivyo, kitendo kinacho onesha ni kuvunja rekodi kwa kubadilisha viwango vya nauli mara mbili ndani ya mwaka mmoja,kitu ambacho...
  14. JamiiForums Tanzania LATRA yadai kushirikisha Wananchi kabla ya kupandisha nauli

    Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi. Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao. === “Nauli haitolewi kwa...
  15. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  16. JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi 759 yanayofanya safari za Usiku yanazidisha Speed na kuchezea mfumo wa ufuatiliaji taarifa za gari (VTS)

    Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao. Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
  17. JamiiForums Tanzania LATRA yawaonya wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa onyo hili baada ya kuwepo kwa malalamiko ya Wananchi kuhusu baadhi ya Wamiliki na Kampuni za Usafirishaji Abiria kuamua kufanya mabadiliko ya Nauli kinyume na masharti ya Leseni zao. Taarifa ya Mkurugenzi wa LATRA, CPA Habibu J.S. Suluo...
  18. JamiiForums Tanzania LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  19. JamiiForums Tanzania Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…