RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo.
Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
Katika hali isiyo ya kawaida, mabasi/ daladala zenye TLB inayotolewa na LATRA Mbaga mpaka GEREZANI/ Kariakoo imekuwa shamba la bibi.
Kutoka kituo cha Kariakoo, Gerezani mpaka makao makuu ya LATRA ni kilometa 2 tu lakini Daladala zikifika kariakoo siti za kukaa ni shilingi 1000 na kusimama ni...
Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya..
Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao.
Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Tunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022.
Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani?
Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu...
Kumekuwa na kilio cha kupanda nauli kwa mara mbili kwenye vyombo vya usafiri Nchi nzima,lakini cha ajabu Serikali na LATRA wameshughulikia watu wa Dar pekee.
Sasa naomba kuuliza huko mikoani nauli zimepanda mara tatu lakini serikali haihangaiki wala hakuna wa kuwasemea ila watu wa Dar ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.