latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Swali kwa LATRA Kuhusu Nauli za Mikoani

    Naomba kuuliza kwanini nauli za kutoka Dar kwenda mikoa mingine zinatofautiana na zile za kurudi hasa vituo vya njiani kwa mfano, hivi majuzi nilipanda bus moja kutoka Morogoro kwenda Mbeya nikalipa Tshs 45,000, jambo la kushangaza wakati narudi nilipokwenda kukata tiketi kwenye bus lilelile...
  2. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania LATRA yafungia Mabasi ya KATARAMA

    Mamlaka ya udhibiti wa vyombo vya usafirishaji nchi kavu umezifungia leseni za kutoa huduma ya usafiri kati ya Dar na Mwanza mabasi ambayo yametokea kupendwa sana na abiria. Hizi zitakuwa tu ni janja janja za Ally's maana Katarama imetookea kupendwa sana, inajaza mapema sana.
  3. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Latra kwenye hili mmewaonea Katarama Luxury

    Nimeona barua yenu ya kuwafungia katarama Luxury kwa kile mnachodai wamechezea VTD, nilitegemea mngefungia pia na makampuni mengine kama Allys, Happy Nation na New force. Hii ni kama double standard, mnabagua wa kuwapa adhabu, kwani hao wengine wanatumia VTD za tofauti?
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania LATRA mtoe adhabu inayomhusu mhusika, mabasi mliyoyafungia hayana makosa, igeni wafanyavyo trafiki

    Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa. LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha Leseni za baadhi ya mabasi ya Dar Express, Kidia One, Luwinzo, Super Feo

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni za usafirishaji kwa mabasi 22 kwa kipindi cha mwezi Januari hadi Februari,2023 Hatua hii ni kutokana na vitendo vya kuingilia Mfumo wa Kufuatilia Mwenendo wa Magari (VTS) na kusababisha mfumo kutotuma taarifa ama kutuma taarifa kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania LATRA hili la ving'amuzi ni uonevu uliopitiliza

    Kama wenye mabasi hawana udhibiti wala utambuzi wa ufanyaji kazi wa ving'amuzi vya LATRA kwenye magari yao, ni vipi kuwajibishwa wao kwa mapungufu yoyote kwenye vifaa hivi? Bila shaka hawa pamoja na kufungiwa wakiwa wamelipia vibali, kodi, bima na tozo zote husika, faini nzito nzito zitakuwa...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Swali kwa LATRA: Adhabu ya kufanya hujuma kwa nchi ni kampuni za mabasi kusitishiwa leseni kwa mwezi mmoja?

    Habari wakuu LATRA Imesitisha Leseni za usafirishaji Kwa makampuni 22 baada ya kunainika kufanya Hujuma kwenye mfumo wa kufuatilia mwendokasi wa Mabasi. Swali yaani Kampuni zifanye hujuma Kwa Nchi na usalama wa watu then adhabu yake iwe kusitisha Leseni Kwa Mwezi Mmja? Huu ni mzaha ms kucheza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania LATRA kwanini hakuna Ruti ya Kawe - Posta?

    Irudisheni / iwekeni upesi kwani zamani wakati wa Mzee wetu Mwaibula ilikuwepo na kwa Taarifa yenu sasa hiyo Ruti in Watu wengi na itawalipa wenye DalaDala. Nami niwajibu kuwa mbona hata Njia (Ruti) ya Kariakoo (Gerezani) DalaDala za Kawe - Gerezani (Kariakoo) zipo pamoja na kwamba hata Mabasi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania LATRA saidieni kurahisisha usajili siyo kutukwamisha

    Habari wadau, mimi sio mwandishi mzuri ila ntajitahidi ili nieleweke. Usajili wa gari za biashara hasa mpya ili zianze route imekuwa changamoto. LATRA wameweka vigezo ambovyo vingi vinawezekana ila kuna kigezo cha Dereva kufanya mtihani na hicho ndio changamoto. Dereva anahitajika fufanya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais ateua Wenyeviti wa Bodi LATRA, Airtel na Tume ya Haki za Binadamu

    Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA). Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji. Jaji Mstaafu Mathew...
  11. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia LATRA yaruhusu mabasi ya abiria kuanza safari za mikoani Saa 11 Aflajiri

    Hamjambo! LATRA imetoa kibali cha ruhusa kwa mabasi ya Abiria wa mikoani kuanza safari kuanzia saa 11 alfajiri badala ya saa 12 kama ambavyo imezoeleka. Kwa mujibu wa Taarifa kutoka LATRA, kikao cha wadau kimeafikiana uamzi huo hasa kwa Mabasi ya masafa marefu. Kwa uamzi huu, abiria jiandae...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania LATRA acheni kuwaonea wafanyabiashara wa magari ya abiria

    Kila mwaka wakati wa sikukuu hasa za mwisho wa mwaka LATRA huongeza usimamizi kwa mabasi ya kusafirisha abiria ikihusisha usimamizi wa nauli halali. Hiki kipandi ni cha chini ya wiki tatu kati ya wiki 52 za mwaka mzima. Nje ya nyakati za sikukuu hasa za mwisho wa mwaka wasafirishaji hufanya...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania LATRA acheni kuhangaika na nauli za Desemba tu

    Binafsi sioni mantiki ya serikali kuhangaika na kupoteza muda na nauli za mabasi kila mwezi wa December ukifika. Huu ni uingiliaji wa kanuni ya biashara inayoitwa "demand and supply in relation to price". LATRA inatia aibu kugeuza kila kitu kuwa siasa na kampeni. Inajulikana na kufahamika kuwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA CCC yapinga nauli mpya za SGR

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (Latra CCC) limependekeza nauli za abiria kwa treni ya mwendokasi (SGR) kutoka mkoa ya Dar es Salaam hadi Dodoma Sh19, 000 kwa watu wazima na wadogo Sh 9,000 kwa daraja la kawaida. Wakati huo nuali ya kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro...
  15. BOFREE

    JamiiForums Tanzania LATRA, tunaomba majibu, kwa nini App ya Tiketi Mtandao hakuna mabasi?

    Nataka kusafiri kutoka Mwanza hadi Dar es Salaam nimeangalia kwenye app yao ya tiketi mtandao kuanzia tarehe 16,17 na kuendelea hakuna mabasi hii inaonekana wamiliki wa mabasi hawaingizi taarifa za mabasi yao kwenye mfumo.
  16. I

    JamiiForums Tanzania Kwenu LATRA na Serikali ya Mkoa

    Juzi nikua mkoani Mbeya na Tunduma katika safari zangu ila kwa nilichoshuhudia ni mateso sana, sijui tatizo nini. Sikuweza kupata usafiri wa saa 12 alfajiri kwahiyo nikaja Uyole kuvizia usafiri wowote. Jamani, tulipandishwa bus aina ya fuso ambalo lilituacha Makambako! Mpaka tunafika Dar...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga Stop usafirishaji kwa kutumia magari madogo kuepuka ajali za kila siku

    RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo. Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Habibu Juma Suluo kuwa Mkurugenzi LATRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Habibu Juma Said Suluo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA). Bwana Suluo anachukua nafasi ya Bw. Gilliard W. Ngewe ambave amemaliza Mkataba wake. Kabla ya uteuzi huo Bw. Suluo...
Back
Top Bottom