latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania LATRA anzisheni route mpya ya mabasi ya daladala kutoka MABIBO kwenda MBEZI.

    Kwa watumiaji wa barabara ya morogoro jijini Dar-es-salaam kutokea Mbezi watakuwa wanajua kuwa kuna idadi kubwa sana ya abiria wanaokwenda na kutoka Mabibo kwenda Mbezi . Na ili kufika mabibo ,mtu anayetoka mbezi inampasa aunganishe mabasi mawili kutokea Mbezi. Rai yangu kwa mamlaka ya LATRA ni...
  2. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Kazi ya LATRA na Chama cha Kutetea Abiria (CHAKUA) ni ipi?

    LATRA (Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini) na vyama vya kutetea abiria vina jukumu kubwa katika kuhakikisha kwamba usafiri wa abiria na mizigo unakuwa wa haki, nafuu, na unaozingatia maslahi ya watumiaji wote wa huduma hizi. Hata hivyo, hali halisi inatia masikitiko makubwa, hasa linapokuja...
  3. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka Kibada mpaka Mwasonga ni kilometer 18 tu, nauli inakuaje 1200? Latra mko wapi?

    Kwema wakuu? Asee Latra mtuhurumie watanzania wenzenu, toka mwaka huu uingie nimeona wananchi wa Mwasonga wanateseka sana nauli inapanda bila sababu za msingi. Zamani nauli ilikuwa 500 tu hadi feli. Toka nauli ipande ikasogea mpaka 1000 na muda huu naandika hapa nauli kule ni 1200 Kwa mujibu...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji za Bunju kwenda Mapinga hakuna nauli rasmi inapelekea usumbufu kwa abiria. LATRA ingilieni kati

    Leo naleta kilio ambacho ni kero chetu wananchi tunaoishi Mapinga na maeneo yote yanayopakana na barabara ya Bagamoyo. Kilio hiki kinahusu nauli za usafiri wa bajaji kwani madereva/wamiliki wa bajaji wamekuwa wakijipangia nauli zinazowapendeza wao kila kukicha kinyume na utaratibu. Mwaka jana...
  5. milele amina

    JamiiForums Tanzania DOKEZO LATRA: Tahadhari Muhimu kuhusu Mabasi ya Kampuni ya Kimotco

    Kwa Latra na Wadau Wote Wanaohusika, Ninatoa wito wa haraka kwa Latra kuchukua hatua muhimu kuhusu hali ya mabasi ya Kampuni ya Kimotco, hususan kwenye safari za kutoka Moshi hadi Mbeya. Ni muhimu kutambua kwamba ukosefu wa ufuatiliaji wa mabasi haya unaweza kuleta matokeo mabaya sana, ikiwa ni...
  6. Zogoo da khama

    JamiiForums Tanzania Hii 0.5% ya latra kwenye nauli ikoje?

    Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utozwaji wa Nauli kinyume na Nauli zilivyoelekezwa na mamlaka (LATRA)

    Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi. Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/= Lakini makampuni ya mabasi kupitia ma agenti wao kutoka eneo hilo wanatoza nauli Tshs.22,000/= kinyume...
  8. Brown B

    JamiiForums Tanzania Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo. ======= Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
  9. Planett

    JamiiForums Tanzania LATRA wamulikeni zaidi Katarama Luxury

    Wakuu hope mko poa kabisa. Straight to the topic. Kama siku kadhaa nyuma LATRA waliwafungia hawa Katarama kutokana na uvunjifu wa taratibu za usafirishaji. Sasa leo nakuja na malalamiko kuwahusu hawa jamaa kama ifuatavyo. Mosi siku ya jumatatu nimwsafiri na bus lao (wanaloita vip) kutoka dar...
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya kampuni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), kwa kushirikiana na Jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani imefanya kikao na wasafirishaji wa mabasi ya Mkoani ili kuwakumbusha kuzingatia Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani. Aidha, LATRA imesitisha Leseni ya kusafirisha abiria kwa kampuni...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo

    LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo. Ila kama ni kweli basi, naomba wawe fair kwa makampuni mengine pia, nilidhani Abood ya Bukoba na Mwanza wangekuepo, nilidhani...
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

    Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini LATRA imesitisha leseni ya usafarishaji kwa mabasi ya kampuni ya KATARAMA Luxury baada ya uchunguzi kubaini wamekuwa wakichezea mifumo ya udhibiti mwendo kwenye mabasi yao (VTS). Aidha LATRA ametoa onyo kali kwa makampuni manne ya mabasi ambayo yamekuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hivi LATRA inajitambua kweli? Arusha-Babati mabasi yanakataa kupakia abiria, leseni ya usafirishaji inasemaje?

    Kuna tabia ya ajabu hapa stand kuu Arusha, mabasi makubwa hasa yanayotoka Moshi hayapakii abiria hata km kuna nafasi. Ila matajiri wanamdharau huyu rais wa sasa, haya mambo sikuyaona kabla, wakati nauli ni TZS 6,000 mabasi yalikuwa yanapakia abiria. Sahivi nauli ya serikali ni TZS 8,000, pamoja...
  15. K

    JamiiForums Tanzania KERO Muda wa kulipia ukifika, LATRA imtumie muhusika wa gari control number ya kulipia deni

    Kama sheria inavyotamka kila mwenye gari kubwa iwe ni bus au lori anatakiwa awe amelipia gharama ya Latra. Kwa uchungu kabisa kulipia Latra kumekuwa na changamoto kubwa sana. Mfano unatakiwa uende kwa vehicle inspector akague gari lako na ulipe gharama inayotakiwa. Pili unatakiwa ulete bima...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Road Safety in Tanzania, a high priority area for SBL

    EVERY year on the third week of August, Tanzania celebrates Road Safety Week. This week is dedicated to raising public awareness about road safety laws, proper use of pedestrian crossings and the importance of following traffic rules, especially for motorcyclists. It also includes vehicle...
  17. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa LATRA, RPC na RTO Morogoro

    Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania KERO Latra Temeke usafiri wa Vikunai na nauli zake hazieleweki

    Wakazi wa Vikunai kata ya Toangoma, wilayani Temeke usafiri wetu umekuwa ni wa kubahatisa na nauli zake hazieleweki. Kwa mfano kuna ruti za Vikunai - Stesheni via Kijichi na ruti ya Vikunai Stesheni via Zakhem vivyo hivyo kwa ruti za Gerezani hazifiki kabisa Vikunai huna zinaishia Zakhem kwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania LATRA kuanzisha utaratibu mpya wa usafiri Dar es salaam

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25. Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti. Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Itashangaa "LATRA isipoifungia kampuni ya mabasi ya Shabiby.

    Kila siku kampuni hii, inazalisha vifo na walemavu. Nitashangaa kama LATRA. haitawatendea haki Watanganyika. Suala la usalama na usimamizi wa kampuni hii ya mabasi limekuwa ni tatizo kubwa kwa muda mrefu. Ni zuri kwamba serikali imekuwa ikiangalia hali hii, lakini inaonekana kwamba bado hakuna...
Back
Top Bottom