latra

Latrás is a locality located in the municipality of Sabiñánigo, in Huesca province, Aragon, Spain. As of 2020, it has a population of 12.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA yawaonya wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa onyo hili baada ya kuwepo kwa malalamiko ya Wananchi kuhusu baadhi ya Wamiliki na Kampuni za Usafirishaji Abiria kuamua kufanya mabadiliko ya Nauli kinyume na masharti ya Leseni zao. Taarifa ya Mkurugenzi wa LATRA, CPA Habibu J.S. Suluo...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA kujadili Shinikizo la Wamiliki wa Mabasi linalotaka nauli mpya za Daladala, Mabasi

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhi (LATRA) imekusudia kuitisha mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri nchini kupokea maoni kuhusu marejeo ya nauli za mabasi ya mikoani na daladala. Aprili 2022, LATRA ilitangaza kupanda kwa viwango vya nauli kwa daladala ilikuwa kuanzia kilomita 0 hadi 10 ilipanda...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilwa: Ajali yaua saba na kujeruhu 22

    Nimeandika tu. Kuna ajali imetokea Kila leo na watu zaidi ya 7 wamefariki Dunia. LATRA wako kimyaaaa
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania LATRA yafungulia mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanza safari za usiku

    Haya wenye Mbeya Yao haooo wamerejea na ratiba ya saa tisa na kumi na Moja usiku baada ya Kumalizia kifungo Cha LATRA. Ni kama tuu Newforce walikuwa likizo ya services ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imerudisha ratiba na leseni za mabasi 38 ya kampuni ya New Force kuanzia...
  6. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kongole LATRA kwa kusimamia mfumo mtandao

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imepongezwa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu kwa kusimamia mfumo wa tiketi mtandao hatua hiyo imesaidia kupunguza kero kwa abiria wa usafiri Nchini. Pongezi hiyo imetolewa wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya Utendaji ya...
  7. zugimlole

    JamiiForums Tanzania LATRA na nyie pandisheni bei ili tufe kabisa

    Ndio hivyo tena Ili TUFE vizuri kama wanavyotaka ili pia tusahau dipwedi Yao na akili iingie kichwani kwetu Yaani kula itakua tabu kabisa kwani nyanya Moja tutanunua mia Tano Michele juu kabisa ufike bei ya kilo Moja kama urefu wa mlima Kilimanjaro na unga pia juu kabisa kuzidi mlima Everest...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania UTPC, MISA-TAN, LATRA, THRDC wataka waliowashambulia Waandishi, Dereva wa Mwananchi kusakwa

    ================= =================== Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Mamlaka ya Udhibiti, Usafiri Ardhini (Latra) wamelaani vikali kitendo cha waandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na dereva kushambuliwa wakati wanatekeleza...
  9. AFRITRACK

    JamiiForums Tanzania Fleet Tracking, Fuel Sensors, Smart Generators, and AI Dash Cameras

    Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za kufuatilia(kutrack) magari nchini Tanzania. Kwa miaka mingi, Afritrack imebadilika na kuwa mtoa...
  10. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gari yenye plate number ya njano kwa matumizi ya nyumbani natakiwa kulipia LATRA

    Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia. Naomba kuuliza je, gari kama hii inahitaji kulipia LATRA? Naomba msaada wenu.
  11. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Bajaji ya kuchaji unahitaji vibali Latra?

    Je Bajaj ya kuchaji unahitaji kuisajili Latra ili upige nayo kazi bararrani? Je unakamatwa na trafiki barabarani?
  12. F

    JamiiForums Tanzania LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

    Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku. Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k. Kwanini isiwe kama majirani...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LATRA kuanza kupiga Mnada Bajaj korofi Arusha

    “Kama mnavyojua awali waliokuwa wanatoa leseni za usafirishaji ni halmashauri ya Jiji la Arusha, lakini tangu mwaka jana tulikaa na tukaamua tufunge usajili baada ya kuonekana zimekuwa nyingi, lakini nashagaa pamoja na kufunga, bado kuna baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuzinunua na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo LATRA kuyafungia Mabasi 37 ya 'New Force' ndiyo kutamaliza Ajali za Mabasi Tanzania nzima?

    Yaani Wafanyakazi wote wa LATRA ndiyo mna aina hii ya Ubongo mbovu uliowapelekea nyie kuja na Maamuzi haya ambayo GENTAMIYCINE sioni Aibu kuyaita ni ya Kipumbavu huku yakiwa yamejaa Chuki, Visasi, Wivu na Uonevu? LATRA mbona hamyachukuli hatua Mabasi ya Tajiri Mkongwe wa Mkoani Morogoro ( na...
  16. John Sin

    JamiiForums Tanzania Mabasi 38 ya kampuni ya New Force yapigwa stop na LATRA kusafiri usiku, kuanza huduma saa 12 asubuhi

    Kampuni ya usafirishaji abiria ya NEW FORCE yapigwa stop leo kuendelea na safari zake baada ya kupata ajali mfululizo na kuthibitika kuwa wengi wa madereva wao hawajathibitishwa na mamlaka hiyo. ======= Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefuta ratiba za saa 9.00 alfajiri na saa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa vyeti vya kuthibitishwa kwa madereva 999 waliosajiliwa na kuthibitishwa

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
  18. M

    JamiiForums Tanzania LATRA simamieni maadili kwenye vyombo vya umma

    Waslaaam Wahenga. LATRA kama wadhibiti wa Mabasi na Daladala mnapaswa kulinda maadili ya jamii yetu. Kumekuwepo na malalamiko ya Mabasi na Daladala kuonyesha picha zenye mahadhi ya ngono lakini hamtoi tamko lolote. Ushahidi huu hapa daladala ya SIMU 2000 TO MNAZI T 292 ECX picha zake zinatia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania LATRA wa Makambako hawana huruma na Wafanyabiashara kabisa

    Hawa LATRA wa Makambako naona wamekaa kituoni Makambako kukata faini za 250000. Hawana huruma na wafanyabiashara kabisa.Gari ikienda Mbeya na kurudi hesabu yake ni 150000. Wenyewe wanamkatia mtu faini tatu mbili huku wakitishia kufungua magari Tena kwa vikosa vidogo vidogo kama mkanda haufungi...
  20. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Kwa hili LATRA mmechemka

    Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri hapa nchini LATRA jana ilitoa waraka wa kuyafungia mabasi ya Kampuni ya Ally's Star na Katarama kwa Sababu walizozitaja kuwa Eti wanashindana kufika kwenye vituo vya Mabasi na mabasi yao kumwagiwa Maji. Kama LATRA wangekuja na Hoja ya mabasi haya kufika kwenye...
Back
Top Bottom