laptop

  1. Next Elon Musk

    Je, MacBook m1 air 8/512 ni nzuri kwa software development?

    Habari Wana-jamii nilikua nashida nahitaji kununua laptop aina ya MacBook m1 air yenye RAM 8 GB na SSD 512 GB kwa ajili ya software development tasks as naingia college course ya CS kwa mdau mwenye experience kwenye hii mashine je ni nzuri au la msaada tafadhali wadau
  2. MAranatha7

    Nauza laptop yenye kasi sana: HP Elite

    Imenunuliwa Picha post #2
  3. FRANCIS DA DON

    Kama kuna mtu anauza laptop ya PackardBell na Dell inspiron N5040 leo kwa pamoja nijulishe, Donge nono litatolewa

    Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
  4. K

    Nitapata wapi Powerful Laptop (Mobile Workstation)?

    Nahitaji laptop powerful iwe; 1. DELL au HP 2. 15 inch screen size and above 3. Numeric keyboard 4. 11th generation and above 5. Minimum Core i7 Wapi naweza pata?
  5. Last sentinel

    Computer4Sale Ninauza Laptop ya Samsung

    Hellow guys kwema? Ninauza laptop ya Samsung, Ram 4GB, processor 1.5ghz, HDD ~500 GB, haikai sana na chaji unachomeka moja kwa moja ukutani, Price ni 200,000/ Contacts: 0759~124378 Nipo Mbezi ya Kimara
  6. Nyamwage

    Niko uchi kwenye masuala ya laptop

    HABARI Nyingine hii hapa swali la kwanza je naweza kucheza game la ETS 2 kwa high quality humu swali la pili kinacho niogopesha ni hilo jina la hicho kifaa kinaitwa MEDION AKOYA sijawahi kulisikia nigeni niokoeni nisiende kupigwa na kitu kizito
  7. The last don

    Computer4Sale Nauza laptop toshiba core i3 bei 250k

    SOLD
  8. BeiSawaNaBURE

    Computer4Sale Pata laptop dell latitude E6530

    PATA MALI KATIKA UBORA WAKE, ALIKUWA ANAITUMIA MCHINA, AMEIACHA KATIKA HALI NZURI HAINA DOSARI, SPECIFICATIONS Model ya PC: DELL Latitude E6530 Core i5 RAM 6 SSD 232 BEI ni TZS 450,000/= tu, Njoo Ukikimbia For Serious Buyers Only, call 0622440414
  9. John Reese

    Computer4Sale Laptop inauzwa bei poa

    Habari! Nauza laptop kwa bei poa. Hp Elitebook (used kwa miezi 6) Ram 8gb Hard disc 500gb Processor core i5 ,cpu 2.6ghz Bei 500 ,000/=(kuna maelewano pia) contact 0752 666 539 Mwanza
  10. Blasio Kachuchu

    Computer4Sale Mpatie mwanao laptop za kisasa za watoto ili zimsaidie katika masomo yake

    Ewe mzazi unakosaje furaha na simu yako uwapo nyumbani??? Njoo tukuondolee hilo tatizo analokusumbua mwanao kwa kumpatia Laptop ya Watoto itakayokufanya uwe huru. UWEZO WAKE: √ Zinatumia mfumo wa Android √ Ni Touch screen √ Zimesheni masomo Nursery mpaka Class 7 √ Masomo ya sekondari O-level √...
  11. G

    Computer4Sale Pata hii HP laptop na hii Sony kamera kwa bei rahisi

    Jipatie hii laptop HDD 500 Gb, RAM 4GB, Intel Celeron 1.6Ghz Inakaa na charge mpaka masaa mawili na nusu kutegemeana na matumizi. Bei Tsh 230,000. Napatikana kinondoni vijana. Simu 0765137266 Pia kuna hii kamera kwa wale wenye biashara ya studio za kupiga passport. Sony original...
  12. General Nguli

    Nahitaji kuangalia Fainal ya UEFA Champions nyumbani kwangu kupitia Laptop.

    Wakuu naomba kujuzwa jinsi nitakavyo faidika kuangalia Uefa nikiwa kitandani na Laptop yangu. Msaada pliz
  13. Superfly

    Naweza kupata PC kali kwa bei ya 400,000/=?

    Wakuu kwema? I hope mko poa Nina 400,000/= hapa nahitaji kununua PC, ningependa mnishauri kwa budget hii - Napata Laptop MPYA yenye uwezo gani? na wapi naweza kuipata? - Napata laptop USED yenye Uwezo gani? (Kutoka yale maduka wanayouza used laptops) Naomba mnisaidie katika hili wakuu...
  14. Soph09

    Mikoba mizuri ya kuwekea documents na laptop

    Nauza mkoba wa kuwekea documents na laptop. Umetemgenezwa na material safi na ndani una sponji nyepesi ambayo haivunji PC Yako na haiingizi maji kabisa. Bei ni 40000tshs Nipo Dar derivery ipo ndani ya Dar na mikoani na nchi jirani ninatuma kwa uaminifu mkubwa Mawasiliano :0628935034
  15. J

    Computer4Sale Nauza Laptop HP Pavilion x360

    Habari wakuu Nauza HP Pavilion x360 touch screen RAM: 8GB Hard Disk: 500 GB SATA Graphics card: Intel with Radeon Changamoto: Haikai na chaji, yaani ni direct ila inalekebishika Ina mpasuko kidogo pembeni kama picha Inavyo onesha. Bei laki 4 na elfu 50 Mawasiliano 0620306221 WhatsApp+255...
  16. Mr Why

    Apple Laptop Inauzwa

    Apple Laptop MacBook Pro Retina Display Inauzwa 13 inch Processor 2.7 GHZ Dual Core Intel Core i5 RAM 8GB 1867 MHZ DDR3 Graphics Intel Iris Graphics 6100 1536 MB. Mbezi, Dar es Salaam Bei 650,000/= Mawasiliano 0623745875
  17. NetMaster

    Hard disk ya laptop naitumia tangu 2018, Je niendelee kuitumia au niibadili ?

    Salama wakuu Ni mwaka wa tano sasa natumia hard disk bila kuibadili, tena yaweza kuwa ni mwaka wa nane maana hata laptop ni hizi za Kariakoo refurbished zimeshatumika ulaya na marekani. Mwaka 2018 nilibadili laptop nikahamishia kila kitu kwenye hard disk ya laptop mpya yenye TB 1, hii hard...
  18. Melki Wamatukio

    SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  19. J

    Laptop aina ya dell inahitajika yenye sifa zifuatazo

    Iwe Core i7 8 Generation Ram 8 Hdd 500 Display 15.6 Graphics 2Gb au zaidi battery 4hrs above, Warranty 6month above 0764125128
  20. Frumence M Kyauke

    Computer4Sale Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa

    Apple MacBook Pro Laptop Inauzwa Bei 1M Mawasiliano 0623745875 Specifications Display Retina display 13.3-inch (diagonal) LED-backlit display with IPS technology; 2560-by-1600 native resolution at 227 pixels per inch with support for millions of colors Supported scaled resolutions: 1680 by...
Back
Top Bottom