Computer4Sale Nauza Dell Laptop Latitude 5300, core i5, Ram 8GB SSD 500GB. 8 generation

rungweyetu

Member
Jul 12, 2013
21
16
SPECIFICATION
Model : Dell Latitude 5300
Processor: Core i5
Ram : 8 GB
SSD : 500 GB
Size : Inch 14
Generation : 8
Window : 11
Screen: Normal and Touch screen
Bei : 500,000/=
Computer ni used ila ipo kwenye ubora mzuri sana kama mpya.
Inakaa na charge zaidi ya masaa kumi ukitumia mfululizo.
Ina adopter yake kwa ajili ya charge.
Nipo Dar es salaam
 
With 500SSD kwa gharama ya 500K ni very reasonable price ....Laptop nzuri na bei ni rafiki sana...hakika kwa watumiaji wanaojua laptop specification hii boss unaiuza muda si mrefu.
shida picha hazifunguki ila specs zimesomeka vema
kila la heri boss.
 
Asante ndugu kwa mrejesho,
Picha zinafunguka ila zina MB nyingi sababu ya aina ya sim niliyotumia kupiga picha,
Nimetumia Google Pixel Six kupiga picha hivyo ili kufungua hizo picha inabidi uwe na MB za kutosha
 
Imetulia kweli kweli,mpaka next week kama utakuwa hujauza ntakucheki.
 
SPECIFICATION
Model : Dell Latitude 5300
Processor: Core i5
Ram : 8 GB
SSD : 500 GB
Size : Inch 14
Generation : 8
Window : 11
Screen: Normal and Touch screen
Bei : 500,000/=
Computer ni used ila ipo kwenye ubora mzuri sana kama mpya.
Inakaa na charge zaidi ya masaa kumi ukitumia mfululizo.
Ina adopter yake kwa ajili ya charge.
Nipo Dar es salaam, Tabata Segerea
Mawasiliano ni 0785381158
Boss huu mzigo bado upo sokoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom