laptop

  1. Mr_S

    Computer4Sale Hp laptop ya 500GB HDD, 4GB RAM na kioo inchi 15.6 inauzwa

    Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana. -> Kioo kina ukubwa wa inchi 15.6 -> RAM ni 4GB -> Hard disk yake ni 500GB -> CPU ni duo core ya 1.6Ghz -> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia) ->Bei...
  2. Mr_S

    Computer4Sale HP laptop inauzwa

    Hp laptop inauzwa. Laptop imetumika lakini bado ipo kwenye hali nzuri sana. -> Kioo kina ukubwa wa inchi 15 -> RAM ni 4GB -> Hard disk yake ni 500GB -> CPU ni duo core ya 1.6Ghz -> Kipengele chake ni betri tu (betri imekufa lakini inapiga kazi freshi ikichomekwa waya wa kuchajia) Kwa mawasiliano...
  3. sky soldier

    Ni namna gani nzuri ya kutumia laptop kitandani na kuzuia isichemke sana?

    Binafsi mara kwa mara huwa napenda kutumia laprop kitandani, sasa unakuta latptop inakuwa yamoto si mchezo kwenye upande wa feni na hii huwa naona kabisa ni tatizo kwa laptop. Tunawezaje kutatua hili tatizo?
  4. Kaselele

    Natafute HP Elite X2 1012 G1 2in1 Laptop

    Habari zenu wana jamvi Natafuta HP Elite X2 1012 G1 2in1 Laptop Yenye sifa zifuatazo: Intel Core m5-6Y54 12 Inch 1.5ghz ROM 128GB RAM 4GB Win 10 Pro RANGI Silver MASHARTI YA JUMLA 1. Muuzaji awe na ofisi rasmi maeneo ya Dar au Zanzibar. 2. Bei isizidi Tsh 650,000. 3. Iwe ni used nzuri. 4...
  5. Kurunzi

    Nahitaji Laptop Dell au HP Bajeti yangu ni 350k

    Ram4 Hardidisk 500gb Processor 2.50ghz Corei5, Charge 4 hours Bei 350k
  6. Last sentinel

    Computer4Sale Laptop Lenovo inauzwa

    Laptop inauzwa.... Type:Lenovo Ram:4GB Processor:2.1ghz dual core HDD:300GB Price:230,000/- Battery:3hours Contacts:0759-124378 Nipo mbezi ya kimara
  7. kikoozi

    Wataalamu wa computer naomba kujua kuhusu "HP laptop"

    Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
  8. Alfred

    Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?

    Mada fupi sana, tupe maoni yako. Una 1.5M, utanunua Laptop au TV?
  9. Senator jr

    Computer4Sale Nauza HP Pavilion Gaming Laptop bei nafuu

    interact with your PC.Video graphics: NVIDIA GeForce GTX 1050 (2 GB GDDR5 dedicated); Turn your laptop into a creative powerhouse for visually demanding apps. NVIDIA Pascal and Game Ready technologies drive the latest games in their full glory.Display: 15.6-inch diagonal Full HD (1920x1080) IPS...
  10. M

    Computer4Sale Laptop inauzwa

    Habari Wadau, Inauzwa laptop yenye ukubwa wa Hard disc 500 GB, Ram 4, Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa +255 676 796168 Ahsante
  11. The Finesse Kid

    LENOVO LAPTOP X131e INAUZWA

    Lenovo X131e HDD 500 CHARGE 3HRS PRICE 200K FIXED CONT; 0766345199 IMETUMIKA MIEZI MINNE(4)
  12. Rabama

    Je, Unahitaji Laptop ya Bei Ndogo Alafu Refurbished?

    Mwaka 2019 kabla sijaajiliwa na Company ya kuuza LAPTOP... Siku moja nilihitaji kununua LAPTOP kwa ajili ya matumizi yangu ya Freelancer niliingia Mtandaoni na kutafuta LAPTOP kutokana na Budget yangu nilipata... Ilikuwa ni aina ya LogiQ kwa kuwa sikuwa na uelewa mzuri kuhusu LAPTOP...
  13. geofreyngaga

    Computer4Sale Laptop HP inauzwa TShs 300,000 Arusha

    Laptop HP processor intel core i5 2.5ghz ram 4gb HDD 500gb. Inafanya kazi vizuri. Note: Tatizo lake haikai na chaji hivyo betri sio nzuri Ipo Arusha Piga simu 0765390225 au 0652494919
  14. Last sentinel

    Computer4Sale Dell laptop inauzwa

    Hellw nauza dell laptop. Specifications: Intel core i-5 ,5th Generation ,2.2Ghz 500 HDD,8 GB RAM Windows 10 64 bit Supports USB/HDMI/Wifi/webcam/ethernet/aux jack 14" HD display Contacts:0759-124378 Price:950,000/-
  15. Last sentinel

    Computer4Sale Nauza laptop lakin imeharibika kioo

    Nauza laptop lakin imeharibika kioo nauza vitu vya ndani HDD yake 500 GB na RAM 3 GB contacts:0759-124378 Bei laki moja na elfu thelathini
  16. GP Logistics Company

    Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Habari wana mzengo! Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako
  17. Ndebile

    Laptop Used Inahitajika Haraka

    Nahitaji kompyuta mpakato yenye sifa zifuatazo: Brands: Dell au Hp Processor: Core i3 2.2Ghz au zaidi Ram: 4gb au zaidi Hard drive disc: angalau 500gb Screen size: 15" au zaidi Ukiwa kanda ya ziwa kwa maana ya Mwanza, Shinyanga, Geita itakuwa poa zaidi
  18. trojan

    Wapi nitapata fan ya laptop?

    Nina laptop ya hp Envy x360, Fan yake ya GPU imekufa, nimejaribu kupiga simu kwenye maduka tofauti hapa Tanzania bila mafanikio. Nimejifunza kuwa maduka yote niliyopiga hayauzi spare za laptop kama yanavyojitangaza. Naomba msaada kwa mtu yeyote anaeweza nipa mwongozo wapi nitapata. Ukinisaidia...
  19. Termux Black

    Computer4Sale Karibu nauza laptop, Computer na nafanya maintenance

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless -VGA...
  20. R

    Nawezaje kudhibiti matumizi ya internet Kwenye laptop yangu?

    Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika tano ikawa imetafuna MB 300! Naomba msaada nifanyeje kudhibiti hii hali.
Back
Top Bottom