Adobe zinagoma ku-Install kwenye LAptop

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Habari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
jamii.GIF
 
Kama Mimi tu......niliishusha Photoshop 2022 but Kila nikiinstal holaa
....
 
unatumia windows gani...?

unaweza kutumia version za chini kama hiyo ni adobe 6 jaribu 5.

lakini kubwa zaidi badili. windows unayotumia hiyo windos specification zake haziendani na hiyo Software...
 
Windows 10 na Ad

Natumia Windows version 10.0, na Adobe ni 2020 na 2019
 
windows 10 huwa na software zake. hivyo unapo download software yoyote hakikisha mwisho unaweka windows 10. mfano adobe for windows 10. lakini hizo softaware zinazogoma maana yake hazikuwa kwaajili ya windows 10.

download software nyingine kisha uziainishe kama nilivyo kuelekeza hapo juu.​
 
lakini kingine hapo unatakiwa uwe una update hiyo windows yako. ila kutokana na kuwa wengi huwa tuna tumia windows za bure ukiupdate computer yako ita misbehave sana.

kiufupi utaichukia update huwa ni kwaajili ya windows genuinely​
 
Habari Wakuu
Najaribu kuInstall Adobe kama Premiere, Audition, Photoshop na zingine lakini
inakataa na kunipa ujumbe (Angalia picha hapo chini) na nimejitahidi kupata maelekezo kupitia google na Youtube sikufanikiwa.
Mwenye kujua naomba anisaidie.
View attachment 2815156
Shule ngumu sana

Na sasa nadhani ndio UMUHIMU wa IT na watu waliosomea masuala ya computer unakuja hapa nashukuru sana hawa watu kufanya Mambo kua complicated at least sasa atafahamika nani amesoma computer na nani hajasoma, yaan washikirie hapo hapo

Kuna Mama Juzi nimemrekebishia simu alibonyeza sehemu simu ikawa inajifunga kila akiiwasha kumbe inabidi abonyeze sehemu ya power off na sehemu ya kushusha sauti ile hali inatoweka akawa anashindwa akataka kuipeleka kwa fundi yaan pale fundi alikua anaenda kula Pesa ya kibwete kabisa

Sasa wewe hapo umeambiwa ufanye upgrade kwenda windows 10 alafu ukiinstall utakubari unapagawa nini? Msogezee IT ale Pesa ya ubwete usijifanye unajua vitu hujui

Yaan washikirie hapo hapo turudi enzi zile za kuwaunganishia na kuwafungulia watu FB na WhatsApp alafu unalipwa

Hii ni Fursa,
 
Maelekezo aliyotoa Prince Mhando yapo
Vizuri sana. Wewe aliyekuambia lazima u upgrade ndio hizo program zitainstall nani?

Hizo Adobe zinakubali hata Kwa windows za chini ya 10. Fahamu waTZ wengi hawatumii Windows genuine wala program genuine.

Hapo badala ya kutoka msaada unaleta ujuaji na hujui kitu.
 
Huyo jamaa hovyo kabisa, mi natumia windows cracked kabisa tena, windows 10 lite,na adobe mpaka ya 2030 itapiga kazi, shida ya wabongo ni ujuaji mandaazi.
 
Una install Master Collection au Separate.
Cs6 master Collection no all weather.
#win32/64.
 
Huyo jamaa hovyo kabisa, mi natumia windows cracked kabisa tena, windows 10 lite,na adobe mpaka ya 2030 itapiga kazi, shida ya wabongo ni ujuaji mandaazi.
Soma maelekezo uliyopewa sio unakaza matako wewe boya, ujuaji my ass mnapenda janja janja kila sehemu maelekezo yanasemaje au kusoma haujui?

Umeambiwa formula ya kutafuta eneo la trapeza ni 1/2(a+b)c unaleta umaandazi wako hapa? Fuata maelekezo sio kujifanya unataka kupingana na wenye setup yao kenge mmoja wewe
 
Maelekezo aliyotoa Prince Mhando yapo
Vizuri sana. Wewe aliyekuambia lazima u upgrade ndio hizo program zitainstall nani?

Hizo Adobe zinakubali hata Kwa windows za chini ya 10. Fahamu waTZ wengi hawatumii Windows genuine wala program genuine.

Hapo badala ya kutoka msaada unaleta ujuaji na hujui kitu.
Na wewe pia pimbi tu maelekezo ya screenshot yanasemaje au kusoma haujui? Unajitia kujua usichokijua?
 
Huyo jamaa hovyo kabisa, mi natumia windows cracked kabisa tena, windows 10 lite,na adobe mpaka ya 2030 itapiga kazi, shida ya wabongo ni ujuaji mandaazi.
"In the near future, anyone who's online will be able to have a personal assistant powered by artificial intelligence that's far beyond today's technology."
- Bill Gates, Co-Founder, Microsoft.

In a recent interview, Gates minced no words when he said software is still “pretty dumb” even in today’s day and age. The next 5 years will be crucial, he believes, as everything we know about computing in our personal and professional lives is on the brink of a massive disruption.

Kiazi kitamu wewe, usimjibu ovyo kila usiemjua on social media hio windows 10 cracked muanzilishi wake unamjua ni nani muanzilishi wa hio Microsoft Windows unamjua?

Unaambiwa upgrade needed unaambiwa tena 'You must upgrade or update your system to install the product'. Shule ngumu?

Tena ikaenda mbele zaidi ukasisitizwa kwa lugha tamu kabisa 'Please check the following' na umeonyeshwa uweke Windows 10 (toleo la 1803 au zaidi) Error code: 195, wewe umekaza matako yako unajifanya km wakati inatengenezwa au inaundwa hio software ya Adobe au Windows OS na wewe ulikuepo behind stupid

Hata programming haujui ukiambiwa utengeneze kaprogram kadogo tu hata kicalculator cha kujumlisha, kuzidisha, kutoa na kugawanya tu au kistopwatch kwa kutumia JavaScript, Java, React, PHP, React Native, MVC, .NET, Next.Js, Node.Js, VB, Typescript, Vanilla, Jasmin, Ruby on Rail, Bootstrap, nk unatoa mimacho haujui hata maana ya Error code haujui ni nini, kaa kimya ficha upumbavu wako hata ukiulizwa debugging & troubleshooting ni nini haujui umetoa mimacho tu
 
Soma maelekezo uliyopewa sio unakaza matako wewe boya, ujuaji my ass mnapenda janja janja kila sehemu maelekezo yanasemaje au kusoma haujui?

Umeambiwa formula ya kutafuta eneo la trapeza ni 1/2(a+b)c unaleta umaandazi wako hapa? Fuata maelekezo sio kujifanya unataka kupingana na wenye setup yao kenge mmoja wewe
Ukibishana na mjinga utakua mjinga, mi sio mjinga.
 
Ukibishana na mjinga utakua mjinga, mimi sio mjinga.
Kubwa jinga

If(something.yousay()==false) {
Next_time.start(); towatch.yourmouth(stupid);
}

Next time fuata maelekezo sio kujifanya na wewe ni AI

👉💩🤪
 
Nimejaribu Master collection na separate zote zimekataa
Fuata maelekezo wewe fuata maelekezo acheni janja janja maelekezo yanasemaje? Au ndio shule ngumu?

Windows uliyonayo ni below expectations kwa hio umepewa uelekeo kwamba ili hio setup iingie weka Windows 10 version 1803 or later

Back
Top Bottom