Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam
Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana
Tunamjua Sugu, pamoja na urafiki wake na Samia ila kasimama imara kusambaza No Reforms No Election
Tunamjua Mdude...
Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia
Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine
Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k.
Kijijini kwenu hawakujui au...
Kama Li Nchi lenye nguvu kubwa kichumi, kijeshi, kiintelijensia, kijeshi, kidemokrasia nk., "Wahuni" waliweza kumpachika madarakani Rais wa kuiongoza nchi huku wakijua kuwa AFYA yake kiakili na kimwili ni dhoofu, ila kwa maslahi yao wakampitisha. Je Hali hii haiwezi kutoka huku kwetu?
Weekend...
Wakuu, kama mada inavyojieleza, kuna wamba, huwezi kuamini licha ya umri kwenda bado tu wameng’ang’ana makwao wakigombea vijiko na wadogo zao.
Kuna mwamba mmoja huyo, kwao zipo za kutosha. Wazazi wake walijaribu kumpushi wakampa na mtaji wa kuuza magari, wakamwambia atoke nyumba akajitafutie...
Aliyewahi kuwa mgombea urais na kufanikiwa kushinda uchaguzi mihula miwili yenye jumla ya miaka 10 alisema kwa mdomo wake kuwa CCM haijawahi kushinda uchaguzi huku naye ni mnufaika wa irais bila ushindi na CCM ilitishia kumfukuza uanachama lakini ikashindwa kumfukuza.
Swali kwenu, nyie msiotaka...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo akisimulia mkasa wa Maderva wa Tanzania walivyokwama kuendesha magari Qatar licha ya kuwa ni wahitimu wa Chuo cha NIT, alisema hayo Mei 7, 2025 alipokutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Dar es Salaam...
Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??.
Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!.
Hiyo Pesa ,ingetosha...
Tukiwa watoto tulipokuwa tukijisomea kwa kukoka moto wa Kuni na vibatali kupata mwanga tulikuwa tunaambiwa huko mwanga na usangi kwao Cleopa Msuya umeme umesambazwa hadi migombani, kwenye mikahawa na unawaka hadi kwenye mazizi ya nguruwe . Kwakuwa sisi tulikuwa hatujafika huko Mwanga tulikuwa...
Mimi kwa upande wangu hali imekuwa tofauti sana. Uchumi umekabia juuu wee sasa naona ukabie miguuni sasa.🥺
Kwani nyie chakula kutwa mnakula mara ngapi , isijekuwa mimi ninazidisha idadi ya milo ???😥
Rodney Hinton Jr. sasa anaongoza vichwa vya habari baada ya madai kwamba alitaka kulipiza kisasi kufuatia kuuawa kwa mwanawe, Ryan Hinton, na polisi. Baba huyo, ambaye kwa sasa yuko chini ya ulinzi wa polisi, aliingia mahakamani kujibu mashtaka ya kumgonga na gari Naibu Sheriff aliyekuwa kazini...
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
Habari zenu wakuu!
Nimekuja hapa mwa ajili ya kuomba ushauri kwa sababu wapo watu waliopitia hali kama hii yangu
Nilikuwa nafanya kaz kwenye mradi mmoja Usaid sasa baada ya pilika za trump kazi ikawa imeisha rasmi mwez wa 4 !
Nina mke na watoto wawili ambao wao walikiwa kwenye shirika...
Huwezi Kuta habari kwa kina za masuala mazito yanayolikumba taifa hili UTV.
Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM pekee kuonesha habari ambazo ni za kusifia TU mama anaupiga mwingi.
Kuna habari za mawakili kunyimwa ruhusa ya kuonana na kujadiliana na mteja wao Tundu Lissu kinyume na Sheria lakini...
Ugali ni mlo maarufu shuleni kipindi tunasoma miaka hiyo
Binafsi nimehitimu kidato cha nne 2009
Ugali uliitwa
1. Bondo
2. Cha Kikwete
3. Nguna
4. Muvero
Hali Halisi ya Kizazi Kilichopotea
Katika hali ya kawaida, Pasaka ni kipindi cha tafakari kuu kwa Wakristo na wasio Wakristo pia—kipindi cha kutafakari maana ya mateso, kifo, na ufufuko wa Yesu Kristo. Huu ni wakati ambapo maisha mapya yanahimizwa, msamaha unatafutwa, na mwelekeo mpya...
Nadhani Leo Mmetoa pepo la MIAKA MINGI sana, now on mtakuwa mnapita robo to nusu kama kawaida.
Pepo limetoka kwa energy nyingi sana, I am impressed! Thanks for the good fight , however Yanga tulifika Final
Hii hatua imewapa boost na itaongeza confidence sana . It was not easy!
Nilisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.