BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 6,238 Reaction score 11,907 Mar 7, 2025 #1 Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Wasalaam. Huku Karatu mahindi yameota vizuri ila mvua hakuna. Ikipita wiki moja hakuna mvua yanaelekea kukauka Sijui maeneo mengine ila hali ya hewa ikiendelea hivi ni hatari.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,203 Reaction score 35,225 Mar 7, 2025 #2 Dodoma toka nipande alizeti week ya 3 hii amna mvua inaelekea ya 4 na amna iiliiyo ota
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,355 Reaction score 14,720 Mar 7, 2025 #3 Kakola jua linaweza kuchoma nyasi zikawaka moto
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 21,121 Reaction score 43,044 Mar 7, 2025 #4 Mr Devil said: Dodoma toka nipande alizeti week ya 3 hii amna mvua inaelekea ya 4 na amna iiliiyo ota Click to expand... Subiri mkuu maana Kwa mungu yote yanawezekana
Mr Devil said: Dodoma toka nipande alizeti week ya 3 hii amna mvua inaelekea ya 4 na amna iiliiyo ota Click to expand... Subiri mkuu maana Kwa mungu yote yanawezekana
Mzaleee JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,142 Reaction score 4,063 Mar 7, 2025 #5 Mwanza mpunga unaanza kukauka mashambani yaani mvua isipo nyesha wiki 2 zijazo ukiwasha moto mpunga unaweza kuungua.
Mwanza mpunga unaanza kukauka mashambani yaani mvua isipo nyesha wiki 2 zijazo ukiwasha moto mpunga unaweza kuungua.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 6,269 Reaction score 9,237 Mar 7, 2025 #6 TANGA MAZAO YOTE YAMEKAUKA TUNATEGEMEA KUPANDA TENA IKENYESHA
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,292 Reaction score 27,018 Mar 8, 2025 #7 Mwalimu wa tuisheni said: Kakola jua linaweza kuchoma nyasi zikawaka moto Click to expand... Nilienda NGULA aisee ni pakavu kama upo airpot
Mwalimu wa tuisheni said: Kakola jua linaweza kuchoma nyasi zikawaka moto Click to expand... Nilienda NGULA aisee ni pakavu kama upo airpot
MAKONGOLOSII JF-Expert Member Joined Jul 31, 2024 Posts 462 Reaction score 710 Mar 8, 2025 #8 Katavi wa maiindi si haba ila wa mpunga majanga, japo muda huu na comment mvua inanyesha baada ya kusimama Kwa siku takribani 20.🙏
Katavi wa maiindi si haba ila wa mpunga majanga, japo muda huu na comment mvua inanyesha baada ya kusimama Kwa siku takribani 20.🙏
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,687 Reaction score 193,702 Mar 9, 2025 #9 Poleni sana... Cc: Mahondaw