Yaani unakuta PS wa boss ni wa kiume alafu anakuwa na kiherehere, sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss, yaani anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss.
Mfano huyu wa kwetu akiona hana kazi bas anakuja mpaka sehemu ambazo yeye hausiki anakuja anafoka sana mara oh mbna...
Huku kwetu ikifika saa 12 jioni ni shida tupu, usifanye miamala mida hiyo utakoma!!!!!! TCRA mkoa wapi kuwatetea walaji?
Pia soma: Vodacom yaomba radhi kutokana na changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo
Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima
Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili ya kupewa majukumu ya kifamilia kwa wadogo zake au biashara (kama zipo), kupunguza gharama za kulea...
Tasnia ya habari imevamiwa na magugu maji. MNA JUKUMU LA KUNG'OA MAGUGU
Na N'yadikwa - Milima ya Umalila
Hongereni kwa kuteuliwa.
Kwa kuzingatia changamoto za uandishi wa habari na utangazaji nchini Tanzania, Bodi ya Ithibati kwa Waandishi wa Habari ina majukumu muhimu ya kuhakikisha sekta ya...
Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno.
Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu.
Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
Ni ukweli usio fichika asilimia kubwa kama 90% ya diaspora wanaishi
kwa kufanya kazi ambazo ni Unskilled Labour.
Wengi wao maisha ni ya kawaida tena ya kuwa busy sana japo wanapenda
kupiga picha maeneo mazuri na kuonesha kwamba ndio maisha yao
halisi.
Aidha diaspora wana mchango mkubwa hapa...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ndiyo utaratibu wa kufuata inapotoea mtu ameuawa kwenye maeneo yenu na aliyemuua mtu huyo hajulikani
Kumbukumbu la Torati 21:1- 9
1 Aonekanapo mtu ameuawa katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, kuimiliki, amelala kondeni, wala haijulikani ni nani aliyempiga;
2...
Credit kwa Jewel Fitila, Mmiliki wa andiko.
UKWELI KUHUSU UISLAMU:
1. Je, Qur'ani inafafanua neno "Allah"?
2. Je, jina "Allah" liliteremshwa kwa mara ya kwanza kwenye Qur'an?
3. Je, Qur'ani inadhani kwamba wasomaji wake wamekwisha sikia habari za "Allah"? Ndiyo.
4. Je, tuangalie katika...
Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala.
Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani.
Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote.
Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni.
Sheria za Mungu zîpo wazi...
Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi....
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
juzi ilikuwa birthday yangu sikuwa na hela yoyote sikwenda beach wala photoshoot.kazi ikaanza jana hela sijui zimetokea wapi kile kimya kikaondoka jana watu nikashuhudia watu wakilewa na kufanya ngono..
Makundi niliyoona wamefurahi sana jana ni wakina mama sijui wamevunja vicoba pamoja na watu...
Agosti 6, 2024
Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram.
Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira ulipotengwa,(referees vanishing spray) Rwanda wao walianza kitambo tu, nasisi tununue poda.
Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani mlikoelekezwa na yule Mzee wenu Muhuni aliyempiga Mkwara Rais wenu wala hana Maajabu. Tumejipanga.
Kwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe.
Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake.
Nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.