kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwenu ninyi Feminist uchwara

    hh
  2. Ushauri kwa Simba SC: Mechi ya jana iwe ni tahadhari na fundisho kwenu

    Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
  3. Bei ya sukari na mafuta huko kwenu ikoje?

    Naona mambo yanazidi kupamba moto, sukari beii juu mafuta kula bei juu Petrol na diesel bei juu tutafika tumechoka sana.
  4. Kwenu TanRoads Mkoa wa Singida : Nitawashangaa sana Kama Mtashindwa Kujenga kwa kiwango cha Lami barabara ya Manyoni - Itigi - Rungwa

    Kuna barabara muhimu na inayoweza kuikomboa Mkoa wa singida kiuchumi kwa muda mfupi. Barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Singida _ Mbeya- Zambia na Malawi. Barabara hiyo inatokea Manyoni- Itigi - Rungwa kupitia chunya kwenda Mbeya ni kipindi cha Kms 233 tu. Nitawashangaa Tanroads mkoss as...
  5. Kwenu mliowahi kuogeshana kwa hizi scrub, tupeni uzoefu wenu nasi tuweze kunogesha mapenzi.

    mliowahi kuitumia kwa kuogeshana mtupe uzoefu hapa zinaongeza ashki ? zina maajabu yapi mengine ? na
  6. Kwenu wachambuzi, mashabiki, mnaochambua hadi nguo, karibuni darasani mjifunze kuhusu nguo, jersey

    Ubora wa nguo unapimwa kwa vigezo kadhaa. Hapa kuna mambo muhimu yanayochangia ubora wa nguo: 1. Vifaa vya malighafi: Vifaa vya malighafi vinavyotumika kutengeneza nguo ni muhimu sana katika ubora. Nguo zilizotengenezwa kwa malighafi bora zinakuwa imara, rahisi kutunza, na zinadumu kwa muda...
  7. Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

    Katika maisha kila mtu ana stori yake kuhusu hatua aliyofikia au iliyofanya akaamua kuishia maisha yake. Mimi niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 nikiwa namalizia Chuo. Na sababu ilikuwa tu kutaka kuwa huru na maisha yangu na kutofuatiliwa na wazazi kuhusu mambo yangu! Especially (Videmu...
  8. M

    Amueni moja mpeni huo Mshahara wa Milioni 40 au Muuzeni kwa tumechoka sasa na Kuvutana Kwenu

    Kwa Washambuliaji mahiri waliowahi kupita / kucheza Yanga SC hata huyu Mayele bado hajafikia 50% isipokuwa saaa anaimbwa na kupambwa kwakuwa tu Nyota imemuwakia na Vyombo vya Habari nchini Tanzania vinampamba mno ila ni Mchezaji wa Kawaida tena sana. Na kwa huku Kuvutana Kwenu nae kwa Siku ya 5...
  9. Kwenu Wanawake, upo tayari kuwa na mwanaume uliyemzidi umri?

    Maisha yangu yote, toka naanza kujitambua mpaka sasa, nimekua nikivutiwa sana na wanawake walionizidi umri. Sijui ni kwanini au ni kivipi nimekua na hii tabia. Nilichokua nakifanya ni kupuuzia na kukandamiza hisia zangu, ikitokea nimempenda binti aliyenizidi umri, basi nafanya kumpotezea ama...
  10. Na nyie kwenu mnao watu kama hawa?

    Best kama hauna watu kama hawa kwenye ukoo wenu katoe sadaka ya LKUJIMALIZA asikwambie mtu,,,,,,yaani wachaga tunavumilia mengi sanaaaaa Kuna magrp ya ukooo matajiri usiwaguse ati una ndugu yako mgonjwa aisee watakurudisha na vibokoooooooooo Ila itokee yule mgonjwa kafaa best yaan...
  11. Kwenu Watanzania wenzangu: Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho

    Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu. "Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
  12. M

    Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  13. C

    Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada

    Leo natamani kusikia kutoka kwenu wadada, kuna mambo ambayo sisi wanaume tuna yafanya na yamekuwa kero sana kwenu ila mnashindwa kutuambia. Leo tupo hapa kusikiliza vitu ambavyo huwa tuna wakera ila hamtu ambiagi kwenye mahusiano.
  14. Kwanini uliondoka nyumbani kwenu kwenda kujipangia na hali ilikuwaje?

    Nilipanga geto lakini sikulala karibu wiki toka nilipie kodi, kipindi nimemaliza form 4 tayari nilikuwaga najua kunyoa maana likizo za nyuma nilikuwa nashinda sana kwa mjomba alikuwa kinyozi basi hata shuleni mimi nilikuwa kinyozi wa shule. nilipomaliza four nikiwa nasubiri form 5 niliweza...
  15. M

    Simba mnashibisha familia ya jirani wakati ya kwenu inalala njaa!

    Ni ajabu na kweli mashabiki na wanachama wa simba pamoja na viongozi wao wamebaki kuiongelea yanga muda wote na kusahau kabisa ya kuwa wanaitaji kuijenga timu yao ambayo imetoka kapa misimu 2 mfululizo, Wamesahau kuwa wanaowasema wanaendelea na wataendelea kubeba makombe na kuvaa medali kwa...
  16. Kwenu Wazee Wa Dar: Bandari unaenda hiyoo

    Wazee wa Dar walikuwa na nguvu sana enzi hizo. Nakumbuka Tibaijuka aliondolewa uwaziri kwa nguvu zao. Hili la Bandali mnalionaje? Mnataka Bandali iende tuu ? NB. Ni marufuku mtu kulinganisha mkataba wa bomba la mafuta na Bandari. Bandari ni yetu na mafuta sio yetu
  17. Wabunge Wetu, Macho ya Watanzania Wote Leo ni Kwenu!. Maslahi ya Taifa Mbele!. Tuwaogope Kama Ukoma Muflis Hawa!, Kama Huwezi, ni Lazima Usaidiwe Tuu!

    Wanabodi, Leo asubuhi hii waheshimiwa wabunge wetu, wataujadili mkataba wa IGA ( Intergovernmental Agreement), na baada ya hapo ndipo HGA ( Host Government Agreement) zitaingiwa kati ya TPA na DPW baada ya IGA kupitishwa. IGA kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai, kuruhusu kampuni...
  18. Je mtaani kwenu kuna dampo? Kama hamna mnafanyaje kudumisha usafi wa mazingira?

    Hebu tuelezane ukweli ili tuweze kuyafanya mazingira yetu safi na salama.
  19. K

    DAWASCO Kimara mwisho matangini sasa yatosha, tunakuja ofisini kwenu

    Kwa masikitiko makubwa sasa mmeamua kula nje ya kamba naona mnatunia mipira inayovutika. Hivi ni kwa nini maji hayatoko kwa siku nnee? Na hamtoi taarifa yeyote, hivi nyinyi mnatuchukuliaje sisi wenye nchi au mnataka tutanguilie mbinguni. Raisi wa nchi ini msimamizi na sisi ndiyo boss wakee...
  20. Ukiolewa Kanda ya ziwa sahau kurudi kwenu

    Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa. Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao. Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa. Basi nawasogezeeni hili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…