Waafrika acheni kudandia watu, tengenezeni vya kwenu ili waone fahari kuwa sehemu ya Afrika

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
464
Huyu dogo ameteka mioyo ya watu wengi baada ya kuonesha kiwango kizuri cha kusakata soka.

Kama ilivyo kawaida ya Waafrika, Wazimbabwe tayari wameanza kelele nyingi na kumkaribisha team ya taifa na tayari wameshampa uraia 😂😂😂.

Mitandaoni huko dogo anatukanwa sana baada ya kusema ukweli kuwa yeye asihusianishwe na Zimbabwe. Yeye ni Mwingereza, amezaliwa Uingereza na wala hapajui Zimbabwe.

Ushauri wangu kwetu Waafrika tulioko Afrika; tuendelee kujitafuta hadi tuwe bora kila sekta, umasikini unafanya watu wakudharahau.

IMG_4831.jpeg
 
Balozi zetu huko ughaibunu zifumuliwe na wapelekwe watu wenye uelewa wa kulinda maslahi ya nchi.
 
Bahati mbaya wanaopelekwa huko ni wale wenye thinking za 60s, bado hawaoni umuhimu wa diaspora. We need changes
Kibaya wanasubiria mtu ameshafanikiwa na kuripotiwa na vyombo vya habari vya nchi nyingine ndipo na hao wanaanza kujipendekeza. Unajiuliza hao mabalozi wanafanya nini au wanasubiri mtu afe ndipo watoe ripoti?
 
Kibaya wanasubiria mtu ameshafanikiwa na kuripotiwa na vyombo vya habari vya nchi nyingine ndipo na hao wanaanza kujipendekeza. Unajiuliza hao mabalozi wanafanya nini au wanasubiri mtu afe ndipo watoe ripoti?
Hiyo tamaduni, sijui tabia whatever inatakiwa iishe aisee. Hatuwez endelea kwa kudandia vitu.
 
watu weusi wamelaanika.

Wote hao wazimbabwe na huyo dogo ni wapuuzi.

Mtu mweusi akishafika Ulaya hujiona nae ni mzungu, kama hawa hawachelewi baadae kuja kulialia kutilisha huruma kuwa wamebaguliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom