kwenu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Kwenu Wajuvi na wapekuzi wa Historia. Naomba majibu ya maswali haya

    Credit kwa Jewel Fitila, Mmiliki wa andiko. UKWELI KUHUSU UISLAMU: 1. Je, Qur'ani inafafanua neno "Allah"? 2. Je, jina "Allah" liliteremshwa kwa mara ya kwanza kwenye Qur'an? 3. Je, Qur'ani inadhani kwamba wasomaji wake wamekwisha sikia habari za "Allah"? Ndiyo. 4. Je, tuangalie katika...
  2. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aliyewadanganyeni Wanaume kuwa Wanawake wanataka tu Hela Kwenu nani? Kudadadeki zenu wanataka Hela na 'Mfurunduano' wa uhakika kama hivi asemavyo Diva

    Mtangazaji wa WasafiMedia "Diva" amempa sifa kedekede Mpenzi wake kwa kile anachodai Mpenzi wake ni mtu Tajiri anayejua Mapenzi.... Kupitia ukurasa wake wa Facebook Diva anaandika.........."Sema acheni mchezo mume wangu ana macho mazur nyie, akicheka sasa aaaah!. Kijana ana hela, ana jua...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jana na leo kuna raha sana sijui kwenu huko

    juzi ilikuwa birthday yangu sikuwa na hela yoyote sikwenda beach wala photoshoot.kazi ikaanza jana hela sijui zimetokea wapi kile kimya kikaondoka jana watu nikashuhudia watu wakilewa na kufanya ngono.. Makundi niliyoona wamefurahi sana jana ni wakina mama sijui wamevunja vicoba pamoja na watu...
  7. Informer

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  8. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Hongera kwenu TFF kwa kutuletea electronic substitution board, Sasa leteni na poda

    Kiukweli inafurahisha sana kuona subs zinafanyika haraka haraka bila kupoteza muda. Niwaombe tu mjitahidi mlete na poda za kuchorea sehemu ya wachezaji kusimama wakati wa fouls na mpira ulipotengwa,(referees vanishing spray) Rwanda wao walianza kitambo tu, nasisi tununue poda.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mvua kwenu huko ikoje?

    Tangu saa 5 usiku mpaka sasa ni mvua! Taarifa toka tanga wa mwandishi wangu Ukipanda , jua hilo. Wataalamu wa kilimo mnasemaje/mnatushauri nini
  10. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwenu watambuzi kibao hiki kipo wapi

  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye Akili tunajua kuwa Ziara yenu Maalum kwenda Ikwiriri ni ya nini, ila tunasisitiza Kwenu kuwa Msimu huu Ubaya Ubwela tu

    Tayari Mtaalam wenu wa Tegeta ( Dada ) na yule wa Lindi ( Mpwa wake Boss Kwetu ambaye pia anatumiwa na Boss namba Tatu nchini ) Watu wameshamalizana nao. Huyo wa huko Ikwiriri Mkoani Pwani mlikoelekezwa na yule Mzee wenu Muhuni aliyempiga Mkwara Rais wenu wala hana Maajabu. Tumejipanga.
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwenu wadogo zangu wa kiume ambao hamjafika third floor(miaka 30)

    Kwenu wadogo zangu ambao bado mpo 20's kumbukeni ya kwamba huyo demu ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa kimaisha hata leo hii tofauti na wewe. Usidanganyike kwamba yupo na wewe kwa sababu anakupenda ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajapata mwanaume wa fantansies zake. Nataka...
  13. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu wakuu

    wakuu Za jioni.......... Leo nimefikiria nimeona niwaulize na nyie, hivi kile tunachokionaga kinapaa angani Huku kinatoa moshi nyuma ni ndege au roketi??? Niko apa kuwasikiliza, Nawasilisha.
  14. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania KWENU CHADEMA; Yule Mwenyekiti wa Wafanyabiashara pale SIMU2000 anafaa kuwa M/KITI badala ya Pambalu

    Wakuu kwema!??? Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko. Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea) nimepitia background yake jamaa ana profile kubwa kidogo sio kitoto ,yeye ndie master mind wa ule mgomo...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  16. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwenu JWTZ mbona sasa inakuwa hivi?

    Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama huyu huko kambini hachunguzwi na kudhibitiwa ili kuleta nidhamu kwa jeshi?
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania TANROADS Morogoro hii ni aibu kwenu kushindwa hili.

    PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati. Mikumi mjini kilimani
  18. J C

    JamiiForums Tanzania Tunaomba sehemu ya USB kwa visimbuzi vya Azam isiwe ya kulipia

    Mimi ni mteja wa king'amuzi chenu kabla ya kukinunua niliona kina USB port na kufuatilia nikakuta unaweza weka flash uka play movie au audio. Kwa Mimi mwenye tv ya kizamani isiyoweza play flash HD nikaona king'amuzi chenu kitanifaa kumbe flash unafanya kazi ukilipia kifurushi kikiisha flash...
  19. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Ninaswali kwenu wanajamvi tusaidiane hapa.

    Nimevumilia tunavyonangwa wanaume sasa unyonge basi..Mwanaume akimwaga mbegu ndani ya dakika2 mnasemavanatatizo,je mwanaume unayemsuguwa ndani nje mara10tu ameshakojowa ndani ya dakika2 na anasema amechoka tusemeje?
  20. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza mwenge kitaifa ukiwa Askari mwenye cheo cha Sgt. Wewe kama Mtumishi wa Umma msomi unajua na...
Back
Top Bottom