Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook.
Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo wamekuwa wakilalamikia hizo picha chafu za ngono na huku wengi wakishindwa kuepukana nazo kwa kukosa ujuzi wa setting za Facebook
Tunaomba serikali kupitia TCRA kufuatilia maudhui hayo na kuyadhibiti