kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Songea: Waumini wachoma Kanisa kwa hasira baada ya Padre kukataa kwenda kumzika muumini

    Padre alikataa kwenda kumzika muuamini (sababu bado haijajulikana), waumini wamezika baada ya kumaliza kuzika wakaenda Parokiani wakachoma kanisa kwa hasira.
  2. JamiiForums Tanzania Siku zinavyozidi kwenda ndivyo Watanzania wanavyozidi kupoteza ari ya mapambano

    Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula? Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo! UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo. Wamachinga...
  3. JamiiForums Tanzania Taifa Stars kuondolewa kwenye njia ya kwenda Qatar ni baraka toka kwa Mungu

    Haya niambie!!! Taifa stars kwa ku fluke ikawa hiyooo hadi Qatar. Hebu tuseme ukweli ingekuwaje? Taifa lengepata aibu inayoweza kuuangusha chini hata mlima wa Kilimanjaro. Timu hii ya akina Samatta na Kibu ingemwaibisha Waziri mkuu na kila mtu nchini. Kilichoipata Zaire 1974 ambacho dunia...
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt Mpango anasafiri kwenda Singapore leo Novemba 14

    Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo πŸ—“Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini πŸ‡ΈπŸ‡¬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kwenda Ivory Coast mwezi ujao

    Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji. Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kwenda kutembea kwenye Mbingu nyingine(another universe)

    I Kulikuwa na ukimya wa kutarajia. NILIWEZA KUHISI watu wakinitazama. Kisha swali fupi, kali, lenye kelele. Nyayo za mshikaji wangu zikija kwa kasi kuelekea kwangu. β€œHuoni?” Aliuliza. "Ninaona muundo wa kupendeza," nilijibu, "naona kile ambacho hakina maana kwangu, muundo wa mistari ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kinaifanya dawa kuongezeka nguvu pale inapotegwa kwenye mlango wa choo?

    kwa wale wataalam wa ndumba ni kipi huifanya dawa kuwa imara sana pale inapotegeshwa kwenye mlango wa kuingilia chooni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa CHADEMA kwenda mbali zaidi na kuanza kujipanga kususia muhimili mwingine ambao ni Mahakama

    Wakati CHADEMA kikiwa kime susa mara kadhaa katika muhimili wa Bunge sasa kimeamua kwenda kuonyesha umaahili huo katika muhimili wa pili ambao ni mahakama. Tabia hii au sera hii kwa chama hicho kikubwa cha upinzani huko bungeni ilikuwa kususa na kuweka plasta midomoni. Sera hii ambayo labda...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mnaoweweseka na Tetesi za Clatous Chama kwenda Yanga SC mmeanza Kuijua na Kuifuatilia Simba SC lini? Mnaniangusha

    Yawezekana 95% ya Vijana mnaoifuatilia na hata Kuishabikia Simba SC wengi wenu miaka yetu mlikuwa bado katika Zipu za Baba zenu wakitafakari wawalete duniani au waghairi tu. Nimeshangaa na Kushangazwa mno kuona wana Simba SC leo wakiwa wameshtushwa na wengine hata Kuogopa baada ya Tetesi za...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hukumu kutoka High court kwenda Court of Appeal

    Nimefuatilia kwa makini sana hukumu zinazotoka Mahakama Kuu Tanzania na kuona haya: 1. Nyingi huwa zinatenguliwa 2. Zikikubakila huwa ni for different reasons/reasoning Mana yake nini? Bado concrete reasoning ya majaji wetu haija kaa sawa. Kwanini? elimu duni ya siku hizi imesambaa maeneo...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

    Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
  12. JamiiForums Tanzania Loan Board mnatutesea Watoto. Jitahidini kwenda na muda

    Nashauri kama hari ndio hii basi vyuo visiwe vinafunguliwa hadi pale Loan Board inapokamilisha ugawaji wa mikopo na kuhakikisha kila anayestahili kupata amepata na kisha kutangaza kufunga dirisha la kupanga mikopo. Wanafunzi wanateseka hawajapewa mikopo/accommodation huku masomo yameshaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

    Habari wakuu. Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo. Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini. Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu...
  14. JamiiForums Tanzania Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza?

    Naomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza. Asante
  15. JamiiForums Tanzania Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  16. JamiiForums Tanzania Form 4 mwenye ndoto za kusomea IT usipoteze mda wako kwenda form 6, nimekupa ramani nzima hapa

    π™π™Šπ™π™ˆ 4 π™ˆπ™’π™€π™‰π™”π™€ π™‰π˜Ώπ™Šπ™π™Š π™•π˜Ό π™†π™π™Žπ™Šπ™ˆπ™€π˜Ό 𝙄𝙏 π™π™Žπ™„π™‹π™Šπ™π™€π™•π™€ π™ˆπ˜Ώπ˜Ό π™’π˜Όπ™†π™Š π™†π™’π™€π™‰π˜Ώπ˜Ό π™π™Šπ™π™ˆ 6, π™‰π™„π™ˆπ™€π™†π™π˜Ύπ™ƒπ™Šπ™π™€π˜Ό π™π˜Όπ™ˆπ˜Όπ™‰π™„ π™‰π™•π™„π™ˆπ˜Ό π™ƒπ˜Όπ™‹π˜Ό Muhimu; Kama una changamoto za kiuchumi ni vyema ukasome form 6 kwenye shule ya serikali uliyochaguliwa ili umalize form 6 na ujaribu bahati yako kuomba mkopo wa serikali ili usome chuo, Post hii...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hii system ya kwenda kusoma chuoni, huenda itakuja ku-collapse siku moja

    Huu upepo umeanzia Marekani, Nlisoma mtandaoni kua mamilioni ya vijana wengi wa kiume Kule united states hawaendi tena chuo, kijana akimaliza high school, anaingia kitaa Anajiajiri kwa kupiga mishe zake Binafsi, vijana wa USA wanaona kugraduate chuo unadaiwa $60,000 na kazi hazilipi ni ujinga...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora wa ujenzi wa visima au vihifadhi maji vya kwenda juu (tank la kujengwa)

    Nimezunguka sehemu nyingi Hasa mikoa ya pwan naona wanajenga vihifadhi maji vya chini. Ndan ya ardhi. Sasa mimi nimeona kwangu havitanifaaa. Nataka nijenge kisima Cha kuhufadhi maji Cha juu, sio Cha ardhini chini. Sasa nataka kujua ubora wake na nini Cha kuzibgatia Kwan nataka nitumie tofali...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana mfikirie usafiri wa wake zenu kwenda na kurudi kazini hasa siku za mvua

    Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile ulizonunua juzi kutoka Uturuki. Kuna kijana hupendi sauti yake lakini ana IST, mbona unaweza kumtafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Misri kuwazuia wafanyakazi ambao hawajachanjwa kwenda kazini

    Misri itawazuia wafanyikazi wa umma ambao hawajachanjwa dhidi ya kuingia katika majengo ya serikali kutoka katikati ya mwezi ujao. Ilani ya baraza la mawaziri Jumapili ilisema wafanyikazi watalazimika kupewa chanjo au kufanyiwa vipimo vya Covid kila wiki ili waruhusiwe kuingia kwenye majengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…