Hukumu kutoka High court kwenda Court of Appeal

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,983
Nimefuatilia kwa makini sana hukumu zinazotoka Mahakama Kuu Tanzania na kuona haya:
1. Nyingi huwa zinatenguliwa
2. Zikikubakila huwa ni for different reasons/reasoning

Mana yake nini?
Bado concrete reasoning ya majaji wetu haija kaa sawa.

Kwanini? elimu duni ya siku hizi imesambaa maeneo yote ya taaluma zetu/utaalamu which means hawajui sheria bado, hawakai wakazikariri sheria na intrepretation yake. Sheria haiko kwenye finger tips zao.

Naogopa tukianzisha Supreme Court, hata za Court of Appeal zinaangukia kwenye fate hiyo hiyo!

I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom