Wenyeji wa Dar, kati ya Tabata Segerea na Kimara, ni wapi mbali kwenda Ubungo

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,906
Habari wakuu.

Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.

Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.

Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.

Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.

Ahsante.
 
Kimara hata kwa mguu anaenda ubungo, inategemea ni mimara ipi na ubungo ipi. Ukizingatia kwa sasa ubungo ni wilaya, ila ubungo kama ubungo na yenyewe, kuna msewe, makuburi, Gide nk, kimara kuna kibo, suka, temboni, bonyokwa nk
 
Habari wakuu.

Kuna ndugu yangu amehamishiwa Dar kikazi, ofisi yake iko maeneo ya Ubungo.

Sasa ameniomba ushauri aishi wapi kati ya Tabata Segerea na Kimara ili iwe rahisi kwake kufika kazini.

Kwa kua mimi makazi yangu ni Mbagala Maji Matitu, sina uenyeji wowote maeneo hayo aliyoyataja huyu ndugu yangu.

Naomba kwa wataalam mnipe ushauri ni wapi mbali kama unatoka Ubungo ama unaenda Ubungo kati ya Segerea ama Kimara. Hapa factor ni foleni, yeye ana gari binafsi.

Ahsante.
penda sana Kimara mimi, na nimeishi hapo kwa 10 years, labda ni kwasababu ni njiapanda kwenda mkoani. bado nainjoy Kimara hadi leo.
 
Eleza kwanza hiyo ofisi yake ipo Ubungo sehemu gani mkuu. Ndipo utapata majibu kamili kwa sababu hata Kimara ni ubungo pia.
 
Back
Top Bottom