kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦. Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amepata scholarship ya kwenda kusomea Ukraine

    Habarini za leo, Naomba kuuliza ndugu zangu. Ndugu yangu amepata skolashipu ya kwenda kusomea Ukraine. Alikua anauliza gharama za maisha zikoje na hali ya maisha kiujumla. Anatakiwa kuripoti mwezi huu, yeye amechaguliwa March intake. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania UEFA yahamisha fainali ya Champions League kutoka Urusi kwenda Ufaransa

    Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League final) iliyokuwa imepangwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Krestovsky jijini Saint Petersburg Nchini Urusi imehamishwa na sasa itachezwa jijini Paris, Ufaransa. Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limechukua maamuzi hayo kutokana na mapigano...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

    Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi. Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya kusini ya Marekani ambayo yalipigania kudumisha utumwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na bendera...
  5. mama D

    JamiiForums Tanzania Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

    Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo! Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zambia: Madaktari Waandamana kuelekea Ikulu, Polisi wawasindikiza

    Nchini Zambia madaktari wasio na ajira wameandamana kuelekea Ikulu ya Nchi hiyo ili kufikisha malalamiko yao kwa Rais Hichilema kwa lengo la kujua hatima yao . Cha kushangaza ni hatua ya Polisi wa nchi hiyo kujitokeza na kuwasindikiza waandamanaji hao kuelekea Ikulu , katika nchi ambayo ni...
  7. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

    RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
  8. Eng Kimox Kimokole

    JamiiForums Tanzania Upgrading Old Mac Computers to latest OSX Versions and New Apps (Kuhuisha Mac ya zamani kwenda OS na Program Mpya)

    Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia. Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
  9. Eng Kimox Kimokole

    JamiiForums Tanzania Upgrading Old Mac Computers to latest OSX Versions and New Apps (Kuhuisha Mac ya zamani kwenda OS na Program Mpya)

    Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia. Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
  10. BVR 2015

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Barabara ya Morogoro kwenda Dar es Salaam haipitiki kutokana na msongamano wa magari kuanzia Kibaha hadi Chalinze

    Wasafiri ambao wanaenda mkoani kupitia barabara ya Morogoro kuanzia Kibaha hadi Chalinze kwa jioni ya leo haipitiki kutotokana na foleni iliyosababishwa na ujenzi unaoendelea katika mlima wa Mlandizi. Matokeo ya kufunga barabara upande mmoja umesababisha mwingiliano wa magari na kufunga njia...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Polisi wawanasa wahamiaji haramu 11 wakitoka Tabora kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu kumi na moja [11] raia wa nchini Rwanda na Burundi kwa kosa la kuingia nchini bila kuwa na kibali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameeleza kuwa wahamiaji hao walikamatwa mnamo Februari 7, 2022 majira ya saa 12:00 jioni...
  13. knaan

    JamiiForums Tanzania Nikifanya kazi moyo unaenda mbio

    "Nikifanya kazi moyo unaendaaa mbio nikiinamaa sana nikisimama sana pia nikitembeaa sana au nikipata mshtukoo tu basi unaanza kwenda mbio pia nikiwa na mawazo." Ushauri wa kitaalam unahitajika kwa haraka.
  14. May Day

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupona enka iliyoteguka (ankle sprain grade3 au 4) bila kwenda Hospitali?

    Je, ni wakati gani nitahitaji kumuona Dokta kama nitaona maumivu makali yamepungua kutoka siku ya kwanza ya kupata ajali ya enka?. Vipi kama nitaamua kufuata tu taratibu za kujiuguza nyumbani mpaka Mguu/enka itengemae? Ni ipi hatari inayoweza kumpata Mtu asipoonwa na kushauriwa na Daktari juu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Dar es Salaam mmeshindwa hata kwenda kuwapa pole wapiga kura wenu Soko la Karume? Wanasiasa mnapata wapi kiburi dhidi ya wananchi?

    Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto. Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa Mkoa mdogo wangu Amos Makala, watu wamepoteza biashara zao Mkuu wa Mkoa hata kama jirani ajafika...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani baada ya kuona makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja kwa kigezo cha human rights, huku yakipinga ndoa za mitala

    Wazungu waliotuletea dini, huko kwao makanisa yanageuzwa kuwa bar. Wengi wameacha kusali, hawaendi tena makanisani, ule moto wa injili uliokuwa ukiwaka ndani yao sasa umepoa kabisa, na jivu lake limekuwa la baridi kabisa. Huku kwetu Tanzania, wengi hawaendi kanisani labda kwasababu ya ubize na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  20. Joannah

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

    Wasalaam wanajamvi. Jamani kuna jambo linanifikirisha kwa muda sasa, hivi kuna uhusiano wowote kwa vijana wa makamo wanaorudi toka ughaibuni na kufeli maisha? Nimekutana na case Kama tatu hivi ambazo zimenivuruga kichwa. Nitazielezea kiufupi. 1. Katika hekaheka za humu duniani nilikaribishwa...
Back
Top Bottom