Wanabodi,
Misaada na mikopo iliwahi kuwa mizuri katika kuleta maendeleo haswa katika kipindi cha baada ya vita vikuu vya pili vya dunia. Nchi kama Uingereza na Ufaransa zilipata maafa makubwa sana vitani na kwasababu hiyo ilibidi wapate misaada kujenga uchumi wao upya. Mpango wa misaada hii...