kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa L-SAR kwa ajili ya kufuatilia majanga ya asili

    Saa 7:44 Februari 27, China ilifanikiwa kurusha satelaiti B ya kundi la kwanza la mfumo wa satelaiti wa L-SAR kwa kutumia roketi ya Long March 4C kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Jiuquan. Pamoja na kazi nyingine, satelaiti hiyo itatumiwa hasa kufuatilia mazingira ya kijiolojia...
  2. JamiiForums Tanzania Kama ni uvamizi wa nchi nyingine, Urusi siyo wa kwanza

    Kama ni uvamizi wa nchi zingine nchi za kibeberu za Ulaya zinaongoza na Urusi sio ya kwanza. Ukianzia na kuzivamia nchi mbalimbali ikiwemo Afrika kuziweka kwenye ukoloni kuanzia karne ya 18 nchi za kibepari za Ulaya na Marekani ndio zinaongoza dunia kwa uvamizi wa nchi zingine.. Kuna Japan...
  3. JamiiForums Tanzania Kikosi changu bora mzunguko wa kwanza ligi kuu..

    Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili. Djgui diarra djuma shaban kibwana shomary Dickson job bakari mwamnyeto Litombo bangala aucho feisal salum saido ntibazonkiza fiston mayele jesus moloko. SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed...
  4. JamiiForums Tanzania Controls & Governance Manager at Coca-Cola Kwanza

    Reference Number CCB220222-1 Job Title Controls & Governance Manager Job Category Finance and Procurement Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Dar es Salaam Job Description Coca-Cola Kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya alfu lela ulela-Kitabu cha kwanza.

    Baada ya kuona kitabu cha pili na cha nne, sasa tuone cha kwanza. hadithi hizi zote unaweza kuzisoma bure ndani ya maktaba app, ipo playstore.
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari ya kununua kwa mara ya kwanza

    Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani, sokoni, kwenda kuwatembelea wazazi mikoani nk. Hivyo naombeni wataalamu mnipe ushauri wa ni gari gani...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Mrithi wa Maalimu Seif Zanzibar na mwanachama mtarajiwa wa CHADEMA

    Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini akaapa Kwa Mwenyenzi atotenda kinyume na Imani yake akasaliti wito aliopewa na Mwenyenzi MUNGU katika...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na "Maslahi yangu kwanza"

    Na Mwal. Maziku, Singida Makamanda salaam! Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti mkubwa usio kubarika. Kwa hakika mtu huyu hakustahili kupewa majukumu ya umakamu Mwenyekiti kwani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la tuwapishe Wazee wapate Huduma za kijamii Kwanza liboreshwe ili lisilete mkanganyiko na migogoro Kwa watu

    TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO Anaandika Robert Heriel. Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa MPISHE MZEE AHUDUMIWE KWANZA" Sasa nikawa najiuliza Hapa Mzee anayezungumziwa ni mtu wa Aina gani...
  13. JamiiForums Tanzania CCM wamjulia hali Joseph Haule (Profesa Jay) Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (Leo) Alkhamis, Februari 10, 2022 akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wamemjuilia hali aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii nguli wa kizazi kipya...
  14. JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza katika kujifunza kutengeneza Ui/Ux kwa Adobe XD

    Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu. Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkufunzi wa Waamuzi Alfred Rwiza: Wote wanaosema Goli la Simba dhidi ya Mbeya kwanza ni offside wakapimwe akili

    "Ni goli halali kabisa na ifike wakati sasa Watu wajitahidi sana Kusoma Sheria na Kanuni mpya za FIFA ili likitokea Jambo wawe wanaweza Kulitafsiri Kitaaluma na siyo Kishabiki. Meddie Kagere anayeonekana kuwa mbele laiti katika ile move pale pale angefunga ndiyo ingekuwa ni Offside ila kwakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

    Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside). Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Wajackoyah: Nitakuwa Rais wa kwanza barani Afrika kuhalalisha Bangi

    Wakili maarufu, George Wajackoyah, amezua gumzo hivi karibuni nchini Kenya. Hii ni baada ya kujitosa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kiti cha urais, kwenye uchaguzi mkuu, baadaye mwakani. Alipoibuka na moja ya sera yake ya kipekee, alipozungumza na wanahabari jijini Nairobi. Wajackoyah...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye naanza na thread ya kwanza!

    Nawashukuru sana mods JamiiForums kwa kufanikisha hili, pia members wote humu mmeni inspire kwa michango yenu mizuri ikafanya mpaka nikaamua kujiunga. Ahsante sana, itapendeza kama mkanikaribisha kwa Likes, comment, ..
  19. JamiiForums Tanzania Ili kuinusuru Simba kwa Sasa, Kagere anatakiwa awe anaanza kucheza na kikosi Cha kwanza

    Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele. Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
  20. JamiiForums Tanzania Walezi wa siku hizi malezi ni ziro wengi wao, hili jambo si mara ya kwanza kuliona

    Habari wakuu wenzangu Unakuta mtu yupo bize na smart phone kuliko malezi au kumjali mtoto, unakuta mtoto katundikiwa mziwa mama hajali kama mtoto ananyonya kupitia pua au mdomo ye ni bize na kuperuzi tu, Jambo lililonikera ni moja tu, nimekutana na mama mmoja ni mnenee tako iloo yani shape...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…