kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Kang

    JamiiForums Tanzania Google imeanza kuajiri ofisi yao mpya ya Nairobi

    Mda si mrefu uliopita Google walitangaza kufungua ofisi yao ya kwanza ya product development Africa jijini Nairobi, kazi ndo hizo engineers, UX experts, researchers mnaweza mkakamata! Google to set up first Africa product development centre in Nairobi Build for Everyone - Google Careers
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Utabiri: Martha Karua atakuwa Rais wa 6 Kenya kabla ya Raila kumaliza muhula wake wa kwanza kama Rais

    Inakuwaje wanajamvi! Ruto atashinda kwa kura nyingi Sana tena kwa kishindo lakini hatatangazwa kuwa Rais. Kwasabab Uhuru hatakubali atachakachuwa tu matokeo ya uchaguzi. Ruto ndie mtu sahihi kuwa Rais wa Kenya. He is simply a presidential material. Natamani na napenda Sana Ruto kuwa rais. He...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Tuelewe kwanza ufanyaji kazi wa VAR

    Kwema Wakuu, Nimeona mijadala mbalimbali juu ya Utumikaji wa VAR katika Mchezo wa Kwanza kati ya Simba Sport Club dhidi ya Orlando Pirates a Afrika Kusini. Sintotaka kwenda kwenye mjadala kama Penalty ilikua halali ama lah, bali nitajikita kwenye matumizi ya VAR tu. Katika Mchezo huo timu ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni moja ya timu mbili tu kati ya timu NANE (8), zilizofanikiwa kushinda mechi ya kwanza ya robofainal confederation cup.

    Wale wanaobeza ushindi wa goli moja wa Simba dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini, ni vizuri wakafahamu kuwa: 2. Kati ya timu NANE zilizoingia robo fainali ni timu MBILI tu zilizoibuka na ushindi kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali, timu hizo ni SIMBA na Al Masry. Al Masry iliifunga...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad mwaka wa kwanza wa Awamu ya Tano alisema trilioni 1.5 ilichukuliwa, fikiria ndani ya miaka 6

    Tangu mwaka wa kwanza trilioni 1.5 ilipigwa nzima nzima, hii alisema Assad na kuanzia hapo akawa hasimu ya JPM, miaka 6 jamaa katuibia ngapi na ziko wapi?
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mariupol yaanguka, ushindi wa kwanza mkubwa wa Urusi

    Muda mfupi uliopita Urusi imesema jiji la bandari na viwanda la Mariupol limeingia mikononi mwao kikamilifu baada ya kusafisha mabaki ya askari wa Ukraine waliokataa kujisalimisha waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda kikubwa cha kufua chuma. Askari hao pamoja na kuishiwa chakula na silaha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mnayataka ya Kesho kwa Mkapa au ninyamaze Kwanza?

    Nasubiria Majibu yenu Wanamichezo.
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kila mtanzania anatambua kuwa hayati JPM alisaidia taifa letu kipindi cha mlipuko wa kwanza wa Covid 19 kwa kutaa mashariti ya mabeberu.

    Kwa taifa letu Karantini lingewezekana? Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani? Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana...
  9. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vipi aendelee Kuupiga Mwingi au asubirie Kwanza mpaka Filamu izunduliwe kwa Biden Marekani.

    CAG: Mashine 89 za trafiki hazikuwahi kurekodi muamala wowote mwaka mzima. Taarifa: swahilitimes.
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

    Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika. Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya… @ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba @VAR...
  13. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

    Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa yafungua ofisi yao ya kwanza Afrika, hapa hapa Nairobi

    Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya... ========================== Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sudan: Kesi ya kwanza ya anayedaiwa kuwa kiongozi wa Janjaweed yaanza kusikilizwa ICC

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu mzozo wa Darfur. Ali Muhammad Ali Abd–Al-Rahman (72)...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza: Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli. "Kwetu ni self service." Nani anasema tatizo letu si katiba? Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Rayvanny aendelea kuvunja records za mauzo: Awa msanii wa kwanza East Africa kuingia Golden Club

    Msanii wa kimataifa Rayvanny anaeiwakilisha Tanzania kwenye matamasha makubwa ya kimataifa kwa sasa. Ameendelea kuonyesha nguvu yake kubwa ya kuuza muziki wake mtandaoni baada ya kufikisha streams million 100 kwenye mtandao wa boomplay. Anakuwa msanii wa kwanza East Africa kufikisha idadi hiyo...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ya kwanza duniani iliyozikwa ikingali Hai

    Umekuwa ni msiba mkubwa ambao ulilikumba Taifa hili lililobarikiwa utajiri wa kupigiwa mfano na unaotamaniwa na wapenda vinono duniani kote, Sasa yapata takriban miaka 58 imezikwa na hadi Leo inasadikika kuwa bado inapumua kwa shida shimoni(Kaburini). Hii nchi ya kipekee duniani, hakukuwa na...
  20. ngajapo

    JamiiForums Tanzania Urusi yadai ‘hatua ya kwanza’ ya mashambulizi ya Ukraine imekamilika

    Afisa mkuu wa ulinzi wa Urusi anasema "hatua ya kwanza ya mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yamekamilika" Juhudi sasa zinaweza kulenga "ukombozi wa Donbass," source RT News Russia claims ‘first stage’ of Ukraine offensive complete Efforts can now be focused on...
Back
Top Bottom