kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Mgeni Siku ya Kwanza (Ni wapi Chimbuko la hili Shairi la Kale)

    Mgeni siku ya kwanza mpe mchele na panza; mtilie kifuani, mkaribishe mgeni. Mgeni siku ya pili mpe ziwa na samli; mahaba yakizidia, mzidishie mgeni. Mgeni siku ya tatu jumbani hamuna kitu. mna zibaba zitatu, pika ule na mgeni. Mgeni siku ya nne mpe jembe akalime. akirudi muagane, aende kwao...
  2. S

    2025 jimbo la Tandahimba litakuwa la kwanza kubebwa na wapinzani

    Salaam. Kila anayefuatilia masuala yahusuyo siasa atakubaliana nami kwamba katika mkoa wa Mtwara, jimbo la Tandahimba ndilo linaongoza kwa siasa za upinzani. Katika uchaguzi mkuu uliopita CCM walilikomboa jimbo hili toka mikononi mwa CUF ambapo mbunge aliyeshinda uchaguzi mkuu wa 2015...
  3. Cristiano Ronaldo: Mshambulizi wa Man Utd na Ureno anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu

    Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801. Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi. Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
  4. Serikali/Mabenki yawe na mkopo special kwaajili ya mwezi wa kwanza.

    Imekuwa ni wimbi wa kila mwaka ifikapo January watu kupiga kelele ukata. Ni wazi kuwa mwezi january uchumi huwa unadorora. Si vizuri kulialia kila mwaka. Serikali/mabenki wangekuja na mkakati wa kutoa mkopo special kwa mwezi january. Kama mtu mshahara wake takehome ni laki sita basi akapeshwe...
  5. Mbeya kwanza ndio Mbeya city?

    Wakuu mi ni mshabiki wa mpira wa wastani kwa hiyo kuna baadhi ya mambo huwa yananipita,kuna siku nimeshangaa naangalia mechi naona timu inaitwa Mbeya kwanza,na wakati huohuo Mbeya city siisikii msimu huu. Ndio hiyohiyo wamebadili jina au ni timu nyingine?
  6. M

    Kwa jinsi Mbeya Kwanza FC inavyocheza Kitoto (Kiuanafunzi) zaidi nitaona 'Maajabu' makubwa ikiifunga Yanga SC leo

    Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
  7. SALA HII INAFAA SANA LEO, Dominika ya kwanza ya majilio.....

    SALA HII INAFAA SANA LEO, Dominika ya kwanza ya majilio.....
  8. First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

    Je umeshawahi kukutana na mtu akakueleza kwamba ''Huyu ni mdogo wangu'', lakini huyo mdogo mtu akaonekana ni mbavu nene na mkubwa kimaumbile kuliko mkubwa mtu? na wakati mwingine hata urefu mdogo mtu humzidi mkubwa mtu. Wazaliwa wa kwanza hufubaa sana kutokana na majukumu wanayo beba japo...
  9. Kwanza mwanafunzi asichapwe, pili akipata mimba arudi shuleni, tatu kama ana utovu wa nidhamu pia arudi shuleni. Waoneeni huruma walimu

    Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo. Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo rasmi hapana. Nitajieni ni nchi gani Ulaya na Amerika ambayo inatumia mfumo huu unao letwa...
  10. Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

    SERIKALI IMEUNGANA NA DUNIA YA KWANZA KUWAKANDAMIZA MASIKINI. NAMI NASEMA WAMALIZENI KABISA Na, Robert Heriel Kusoma wakati mwingine sio kuelimika, ninaushahidi wa kutosha usiotia Shaka kuwa wasomi wanashindwa na mambo mengi zaidi ya Wale wasiosoma. Sio kwenye ndoa, sio kwenye kazi, sio...
  11. B

    Sheikh Ponda: Kabla ya kuomba mvua, tuondoe Dhuluma

    Sheikh Ponda, mwanazuoni maarufu nchini asiyeupa nafasi unafiki amefunguka bayana: Kwenu viongozi wengine wa madhehebu zingine: "Ninyi dhuluma hizi kwa wengine haziwafikirishi kabisa?"
  12. Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  13. Rais Samia apewe muda, hatumii uongo wala propaganda. Anakuwa Rais wa Kwanza kuleta maendeleo ya kweli

    Awamu ya tano kona kona zilikua nyingi na huu sio wakati wa kumlaumu yoyote, kila mtu anajua propaganda na uongo na maamuzi ya mtu mmoja yalitawala. Wanufaika wakatumia kila njia kuziba mifumo wananchi na kuwatisha kwa kila namna. Kama tukifatilia mienendo ya awamu ya tano ni Rais Samia na...
  14. M

    Ewe Mwenyezi Mungu nakuomba usipokee Maombi ya Watanzania ulete Mvua, bali acha Kwanza tufe ili Akili zitukae sawa na tuache kuwa Mazuzu

    Yaani tunaharibu wenyewe Mazingira kwa Uzuzu wetu huku wengine tukikataa Kupanda Miti mingi au hata Kuitunza tu ili ije itusaidie kwa Kivuli, Upepo na hata Mvua leo tunataka Kumhangaisha Mwenyezi Mungu mwenye Majukumu Mamilioni kidogo dhidi ya Watu na Mataifa mbalimbali atusamehe na atushushie...
  15. Harmonize: Zuuh ni mpenzi wangu wa kwanza

    Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra. Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
  16. Unit Manager: Utilities and Processing at Coca-cola Kwanza (Tanzania)

    Closing Date 2021/11/22 Reference Number CCB211104-6 Job Title UNIT MANAGER: UTILITIES AND PROCESSING Function Manufacturing Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania Location – Province Not Applicable Location – Town / City Dar es Salaam Job Description...
  17. Ukiombwa kitu chochote kinachoanza na Herufi ya Kwanza ya ID yako utatoa nini?

    Ngoja tuone😅😅😅 Mi natoa Bia😎😎😎 Tulewe kwa kwenda mbele
  18. Mtumishi wa Umma wa Kwanza Aliyezaliwa Siku ya Uhuru Kustaafu Mwaka Huu Desemba

    Kwanza niwapongeze kwa shughuli za ujenzi wa Taifa. Nipende tu kuwakumbusha ya kuwa Nchi yetu sasa inaanza kukomaa na kuwa pevu. Nasema hivyo kwa sababu miaka yote tumekuwa tukishuhudia wastaafu ambao walikuwa wamezaliwa kipindi cha ukoloni. Yaani kabla ya uhuru wa Tanganyika. Lakini sasa...
  19. 1863 Jeshi la kwanza la Nigeria linaundwa

    COMPREHENSIVE HISTORY OF HOW THE NIGERIAN ARMY CAME TO BE The history of the Nigerian Army dates back to 1863 when Lt. Glover of the Royal Navy selected 18 indigenes from the Northern part of what is now Nigeria and organized them into a local force, called the “Glover Hausas”. The small army...
  20. Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

    NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3? Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…