kuzuia

Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club, or simply KMKM SC is a football club from Zanzibar based in Unguja.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi wapinga vikali mkataba wa LATAFIMA kuzuia Uvuvi ziwa Tanganyika

    NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
  3. Lidafo

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaweza kuzuia Rushwa Tanzania

    Rushwa ni hali ya mtu kutenda au kutokutenda jambo fulani kwa mtu au kikundi cha cha watu kwa nia ya kujipatia faida binafsi, Baada ya kupatiwa au kuahidiwa kupatiwa kiasi fulani cha fedha au vitu vinginevyo, Kinyume cha matakwa au misingi ya kazi. Kutokana na maana ya rushwa hapo juu utagundua...
  4. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

    Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya. Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
  5. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Mama Onema: Mchawi aliyekuwa na dawa ya kuzuia Risasi huko Congo

    Itakumbukwa mnamo 1964 General Mobutu alianzisha mashambulizi huko Rusizi plain (Uvira), eneo hili lilikuwa linashikiliwa na waasi wa Simba-Mulele ,kwa usaidizi wa anga wa jeshi la Marekani mashambulizi haya dhidi ya waasi yanapata changamoto, waasi ikasemekana wanapewa dawa na bibi kizee mmoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka maelezo juu ya zuio la Zanzibar la kutouza nje Sukari na Mchele

    Zanzibar wamestuka Wakati Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikitangaza zuio la uuzaji nje ya nchi bidhaa ya sukari na mchele, Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) kimeitaka itoe maelezo ya kina juu ya marufuku hiyo. Kimesema uamuzi huo umefanyika wakati ambao, Serikali ya Mapinduzi ya...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka

    Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

    Kwa sasa wanatumia diplomasia, ila kenge akisisitiza na kutokuskliza, basi itabidi kichapo tu.... Taifa lenye mizuka ya kidini na kigaidi gaidi haliwezi kuruhusiwa kumiliki nyuklia.... Washington/Berlin, Jan 30, (dpa/GNA) – The US government has not ruled out military action, to stop Iran from...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Sophia Mjema, baada ya kuzuia upigaji Vishikwambi. Angazia na hawa HESLB waturejeshee pesa walizotukata kimakosa. Prof. Mkenda limemshinda

    Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya wepesi wako wa kuwafuata kwenda kulalamika. Baado ya hapo ukiomba kurejeshewa makato yaliyokatwa...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

    (Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi. ========================== Utakatishaji pesa ni nini...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi 320 za kazi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)

    Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below: 1.0 INVESTIGATION OFFICERS II (220 POSTS) 1.1 Required Qualifications: 1.1.1 Academic Qualifications: Applicants...
  12. Patriot

    JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  13. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kifaa cha kuzuia wizi wa Magari, Pikipiki na Bajaj. (Wireless Kill switch)

    Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote. Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch. Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625. Kwa lugha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulid Kambaya unaharibu Kipindi cha Malumbano ya Hoja kwa Kuzuia Serikali isikosolewe

    Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa. Kinachonishangaza hasa Mimi...
  16. Mama Nehemiah

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kuzuia vicheche bandani

    Wakuu naomba maarifa ya jinsi ya kuwazuia vicheche maana wanaingia bandani kwa kuku wanakula mayai. Mahali ninapoishi kuna uzio wa senyeng'e so wanaingia mahali kuku hutaga na kuchukua mayai. Mbwa kwa sasa siwezi kufuga naombeni njia njingine tafadhali.
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watoto wa miaka 8 wachomwa sindano za kuzuia mimba

    Baadhi ya wazazi wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wamedaiwa kuwalazimisha watoto wao wa kike kuchomwa sindano za kuzuia kupata ujauzito kitendo kinachowaweka hatarini kukumbwa na tatizo la utasa hapo baadaye. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma wakati wa mdahalo wa kujadili...
  18. Mapand

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aiomba Serikali kuzuia wananchi kuzalisha pombe za asili

    Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa Iran imeua raia 328 na kukamata 14,825 katika kuzuia maandamano dhidi ya duluma za kidini

    Maandamano yanaendelea, raia wa Iran wamekubali kuendelea kuuawa na serikali yao inayopambana kumpigania "mungu" wa waislamu. Hii yote ilitokana na tukio la mwanamke kuuawa kisa kipande cha nywele kilichomoza kwenye buibui kinyume na dini inavyoamrisha. Protests in Iran raged on streets into...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sungusungu wa Shinyanga wapewa jukumu kuzuia ndoa za wahitimu la Darasa la 7

    Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya Shinyanga na Wilaya ya Shinyanga limepewa jukumu la kuhakikisha hakuna ndoa ya utotoni ya mwanafunzi yeyote aliyehitimu darasa la saba mwaka huu. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya...
Back
Top Bottom