Lindi: Watoto wa miaka 8 wachomwa sindano za kuzuia mimba

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Baadhi ya wazazi wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wamedaiwa kuwalazimisha watoto wao wa kike kuchomwa sindano za kuzuia kupata ujauzito kitendo kinachowaweka hatarini kukumbwa na tatizo la utasa hapo baadaye.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma wakati wa mdahalo wa kujadili kero zinazowakabili vijana wakiwemo wanaoishi na Virusi vya UKIMWI katika maadhimisho ya Wiki ya UKIMWI Duniani.

Ameongeza kuwa katika Wilaya anayoiongoza amebaini watoto wa kike walio na umri kuanzia miaka minane hadi 13 wanachomwa sindano za kuzuia wasipate ujauzito huku wazazi wakidaiwa kuweka msisitizo kwa watoto hao kuchomwa sindano hizo jambo linalochangia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugumba.

Ngoma ameeleza kuwa watoto wa kike hivi sasa hawahitaji matumizi ya kondomu kutokana na matumizi ya sindano ya kuzuia kupata ujauzito, huku baadhi ya shule zikiwamo za msingi ndani ya Wilaya hiyo kuwa na idadi ndogo ya wanafunzi kutokana na kushiriki zaidi mapenzi kuliko masomo.

Chanzo: Swahili Times
 
Ameongeza kuwa katika Wilaya anayoiongoza amebaini watoto wa kike walio na umri kuanzia miaka minane hadi 13 wanachomwa sindano za kuzuia wasipate ujauzito huku wazazi wakidaiwa kuweka msisitizo kwa watoto hao kuchomwa sindano hizo jambo linalochangia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na ugumba.
Wa kulaumiwa ni aliyewapa unqualified medical staff kukaa na hizo dawa na kuzitumia vibaya
 
wasichana wengi wa mikoa ya kusini wamechezwa ... ktk umri mdogo wameshafundishwa namna ya kumkimu mwanaumee, hawana hiyanaaa wala aibuuuu kabsaaaa, kwao utelezi ni sehemu ya maisha ya kila siku, akiambiwa tuuu ashasanuaa

14 -20yrs waeza kuta ashapata watoto 2
 
Nipo lindi..huku vitu vya bei rahisi ni viwili tu chumvi na wanawake basi...samaki wenyewe bei japo tuna bahari....shughulini kwemye unyago mtu anaondoka na katoto kadogo mpk unashangaa yaani cha la nne kanajua kukatikia kwa juu na kuifinyia kwa ndani..wamwera wamakua na wamakonde hapana asee borea kidogo wayao wa kati ya tunduru
 
laah
 
Back
Top Bottom