Ukisoma threads nyingi hapa jukwaani zinahusu mahusiano ya wanandoa, utagundua kwamba wengi waliingia bila kujua ni nini hasa walipaswa kufanya kabla ya kufikia maamzi mazito ya kuoana.
Niwaombe mliopo kwenye ndoa mtusaidie mambo kadhaa tunayotakiwa kujua hasa wakati wa uchumba na je, uchumba...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unafanyika mjini Beijing. Akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa CPC Xi Jinping amesisitiza kuwa kuwanufaisha wananchi ni lengo kuu la Chama hicho, kauli ambayo kwa mara nyingine tena inaonyesha kwamba...
Tech sasa hivi ndio industry yenye pesa Duniani kuliko industry yoyote, zamani visima vya mafuta ndio ilikuwa habari ila kwa sasa tech ndio kisima cha mafuta na DATA ndio mafuta, ukitaka kufanikiwa miliki DATA the way unavyozidi kuwa na DATA nyingi na ndio utajiri wako unaongezeka makampuni kama...
Tarehe 16 Oktoba China itakuwa na mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti cha China unaofanyika mara moja kila baada ya miaka mitano, ambao kazi yake kubwa ni kupanga mwelekeo wa chama katika kipindi cha miaka mitano. Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya...
Uvumbuzi wa mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mara nyingi mataifa haya yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha na kuyauza mafuta na gesi katika mataifa hayo ili...
KWA WABUNGE WANAOMBA KURA KUWAKILISHA BUNGE LA EAC HAYA MAMBO MUHIMU SANA YA KUZINGATIA
"Asiyekubali kushindwa huyo sio mshindani"
Binafsi nianze kwakukipongeza chama cha mapinduzi (CCM) kwa namna nzuri iliyotumika katika kuwapata wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa ngazi ya chama. Hakika...
Habari wanaJF,
Nawaza kujenga shule ya chekechea, sio Dar, ni mkoani, eneo ni la kutosha na sehemu hiyo ni mji ambao unakaribia hadhi ya makao makuu ya wilaya. Je, nizingatie mambo gani muhimu ?
Ahsanteni.
Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha umeyaweka sawa kabla hujaendelea na swala zima la Blogging.
Mengi ya haya mambo yatakua sio mageni...
UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA
Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani
Aidha amezitaka...
Muhtasari:
Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au kujiongezea kipato. Leo ningependa ujifunze njia rahisi na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kuanzia sasa na...
CHUKUA HIZI 11, KAMA ZITAKUFAA
1. SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Sio rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!
2. SIRI YA PILI
Usimwamini sana rafiki yako ,kwa...
Shule ya Sekondari Nyakasura iliyoko Magharibi mwa Uganda imekuwa gumzo baada ya wanafunzi wa kiume wa nchi hiyo kuvaa sketi ikiwa ni sare ya shule hiyo ambayo imeanzisha tangu Mwaka 1926.
Mkuu wa shule hiyo amesema mavazi yanayoonekana sio sketi bali ni mavazi ya heshima yaliyokuwa yanavaliwa...
Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika.
Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
Na Ronald Mutie.
Wakati wa mchakato wa usanifu, wataalam wa reli hii ya kisasa SGR kati ya Mombasa na Nairobi nchini Kenya walichukua hatua kadhaa zilizolengwa kushughulikia masuala ya mazingira, kama vile kulinda mimea na wanyama mbalimbali wa porini.
Tangu kufunguliwa kwake Mei mwaka 2017...
MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA MKIWA KWENYE JUMUIYA!
Anaandika Robert Heriel.
Kula chakula napo kunauungwana wake, ambao hauna budi kufuatwa, hasa ukiwa unakula watu zaidi ya mmoja, iwe ni kwenye familia, Ugenini,kwenye matukio Kama HARUSINI, misibani n.k. Kula kitasha inaweza...
Wengi tunapokuwa kazini yapo maisha ambayo yanasababisha majuto kwa baadae. Hali hiyo inawatokea wengi sana hasa vijana wanaopata kazi mapema, mwisho wake wanaishia katika majuto.
Unachopaswa kujua au kuelewa, upo msingi wa maisha unatakiwa kuishi nao unapokuwa kazini ili baadae usije ukaishi...
Kwako Mwananchi,
Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.