Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 7,129
- 18,111
Nimekumbuka mtani kwetu miaka ya nyuma, alitokea mwizi mwanamke, alikamatwa bila kupigwa hata kibao tu walitokea watu wakazuia asipigwe.
Baada ya yule dada kuhojiwa alitoa story ya simanzi pale akachangiwa sembe, mchele, sukari na vyakula vingine vingi akale na familia yake, akapewa na nauli ya kurudi nyumbani.
Miezi imeenda akakamatwa mwizi mwanaume raia walikuwa wakali wakataka apigwe kukomesha wizi, ikabidi washkaji tufanye maarifa kumuokoa kijana mwenzetu.
Umejifunza nini? Mwizi wa kwanza alionewa huruma na kusaidiwa kwa sababu ni mwanamke, mwizi wa pili raia walitaka apigwe kwa sababu ni mwanaume.
Wote kosa lao moja lakini treatments tofauti kwa sababu ya jinsia zao.
Umenielewa sasa? Wewe kama mwanaume elewa kwamba ukizaliwa mwanaume basi upo peke yako. Ni hatia kuwa mwanaume katika hii dunia. Pressure na expectations za jamii kwako ni kubwa sana na hakuna excuse utaitoa ukaeleweka.
Wanawake hawatajali chochote kuhusu wewe, wanaume wenzako hawatajali chochote kuhusu wewe, ulimwengu hautajali chochote kuhusu wewe.
Ukijidanganya kwamba unaweza kupata favor kama mwanamke utapata tabu sana. Hata hao marafiki zako wengi tu wanaweza kukutosa na kumsaidia mwanamke just because of pussy.
Nini ufanye kuondokana na hii hatia ya kuzaliwa mwanaume? Pambania mafanikio, mafanikio yako pekee ndio yatakuondolea hatia yako ya kuwa mwanaume hapa duniani. Upendo wa bure utaupata nyumbani kwako kutoka kwa mama, baba, kaka na dada, ukiingia huku mtaani utapendwa kutokana na unacho-provide.
Ndio maana nawasisitiza vijana wenzangu, wakati wa kujitafuta usipoteze muda, pesa au nguvu kumsaidia mwanamke au kutengeneza mahusiano yako na mwanamke. Katika hiyo age yako mwanamke awe ni kwa ajili ya pipe and swipe tu, baaaasi.
Huyo demu wako hatokuwa mkeo, huyo ni mke au mchepuko mtarajiwa wa wanaume wengine ambao kwa sasa wapo 30's au 40's, kajiweka tu kwako kwa sababu rain maker bado hajajitokeza.
Mwanamke ameshafanikiwa kimaisha kukuzidi wewe mwanaume kwa sababu tu ya jinsia yake. Wapo wanaume wengi ambao tayari wameshajipata wanaweza kumuokoa cheaply, lakini wewe kama mwanaume hakuna wa kukuokoa.
Usipoteze pesa, nguvu, rasilimali au muda wako kwa ajili ya mwanamke, sio mwenzako huyo, ukiishiwa atahamia kwa mwanaume mwingine mwenye nazo, wewe utabaki na umasikini wako.
My brothers, don't go broke, you will be a criminal in this world.