kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke na mume sio ndugu, lakini uhusiano wao ni mkubwa na una nguvu kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa

    Haya ni mawazo yangu. Mume na mke sio ndugu kabisa, ni Aina ya uhusiano wa kipekee kabisa,uhusiano wa Hawa watu wawili ni uhusiano wenye nguvu na mkubwa Sana kushinda uhusiano wa ndugu wa kuzaliwa tumbo moja.kushinda uhusiano wa baba na mtoto,au marafiki wawili. Lakini pamoja na uzito wa...
  2. N

    Ya Wakili Kidando, Luteni Urio, Katiba ya Mbowe na siku ya kuzaliwa yametufariji sana juma hili

    Mambo ni mengi kweli kweli. Juma hili bhana imekuwa na furaha na masikitiko sana kwa watu wengi kati yetu. Kwa kifupi ninamwonea huruma sana Wakili Kidando na Timu yake kwani matarajio yao kushinda hii kesi KWA HAKI ninaamini yamefifia sana. May be Moses Lijenje ndiye shahidi tu tunayemtegemea...
  3. H

    Watangazaji Clouds Media wapendekeza siku ya kuzaliwa Rais Samia Suluhu ingizwe kwenye kalenda ya kusheherekea

    Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
  4. Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  5. P

    Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  6. Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

    Kama huyu Yesu Kristo ambaye tunamsheherekea Kesho ( Krismasi ) alizaliwa Kimasikini Zizini ( Kraal ) ila bado akakubali Kufa kwa ajili yetu, anatuombea 24/7 na ni Mnyenyekevu asiye na Majivuno pia ni kwanini Sisi Wakristo akina GENTAMYCINE tumekuwa ni Watu wa Viburi, Jeuri, Nyodo, Maringo...
  7. Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo

    Leo tarehe 02 Desemba 2021ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi nchini Ndg. Daniel Chongolo. Chama Cha Mapinduzi katika akaunti za mitandao ya kijamii kimeandika ujumbe ufutao; "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakutakia heri katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku...
  8. Hivi tunapaswa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa au kulia kwa uchungu?

    Kumekuwa na utamaduni wa kusherehekea siku zetu za kuzaliwa kwa kila namna na kila utaratibu je hii ni sahihi au tulipaswa tusikitike na kulia kwa uchungu maana siku zako za kuishi dunia zinaisha au hii ikoje wajuzi wa mambo mje hapa
  9. S

    January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga. Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
  10. B

    Leo katika historia: Undani wa hayati Abeid Amani Karume (1905 - 1972)

    Leo katika historia April 7: Undani wa hayati abeid amani karume kuzaliwa mpaka kifo Bwana Abeid Amani Karume muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar alizaliwa katika kitongoji cha Pongwe, Mudiria ya Mwera kisiwani Unguja tarehe 4 Agosti 1905. Karume ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya...
  11. Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570. Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
  12. SoC01 Namna ya kusherehekea siku ya kuzaliwa iletayo hamasa mpya ya maisha

    Baada ya kukumbuka kuwa kesho ni siku yake ya kuzaliwa; alikopa pesa, akafanya sherehe (birthday party) na baada ya sherehe hakuna alichowaza kingine zaidi ya namna ya atakavyolipa deni! Anayekupenda hakumwagii maji, atakumwagia upendo ulio sheheni baraka, shauri jema, makanyo, maelekezo...
  13. Hadithi ya Mkenya huyu inatupa somo kubwa-wezi waliumbwa na kuzaliwa

    An undated file image of former bank manager Ben Mwangi This is the case of one Ben Mwangi, whose story can only be visualised in a movie-style act. Once a very successful bank manager in the 1970s and having amassed wealth over years, Mwangi would later lead a life of solitude and eventually...
  14. M

    Tarehe ya kuzaliwa Freeman Mbowe ni siasa pia?

    Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti? Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya...
  15. T

    Nafasi za kazi Polisi, qualification “Raia wa Kuzaliwa” Vipi mawaziri wenye uraia wa kuomba gazetini?

    Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka. Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania. Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria. Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu...
  16. Kuhusu Cheti cha Kuzaliwa

    Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu? Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki. Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje. Naomba mwenye...
  17. Siku ya kuzaliwa yenye furaha kwako Eric Shigongo

    Leo ni siku muhimu katika historia ya Maisha yangu, ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alinileta duniani kupitia wazazi wangu Bi. Asteria Kapela na Mzee James Bukumbi (wote marehemu). Napenda kumshurku Mungu kwa kuendelea kunipa uhai, afya, nguvu na maarifa ili kuendelea kutimiza dhumuni lake la...
  18. Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  19. P

    Chuo cha Siasa Kivukoni ni muda wa kuzaliwa upya, hawa ma-DC na ma-RC ni matokeo ya kutopigwa msasa kiuongozi

    Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika. Taratibu muda...
  20. Kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu furahi pamoja nami siku hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…