Tarehe ya kuzaliwa Freeman Mbowe ni siasa pia?

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti?

Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya leo?

41d0ce49-6888-4e00-80bd-4345e09e80a9.jpg
 
Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa.
Usahihi kuhusu tarehe ni huu

14.9.1961 ni kuzaliwa kutoka ndani ya tumbo la mama yake. (kuzaliwa kimwili)

9.12.1961 ni siku ya ubatizo wake na kupewa jina la Freeman. (kuzaliwa kiroho)
Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita
 
Usahihi kuhusu tarehe ni huu

14.9.1961 ni kuzaliwa kutoka ndani ya tumbo la mama yake. (kuzaliwa kimwili)

9.12.1961 ni siku ya ubatizo wake na kupewa jina la Freeman. (kuzaliwa kiroho)
Nyongeza. Kuna mahali nilisoma Baba ya Taifa ndiye aliyekuwa msimamizi ya uabtizo wake.

Happy birthday Mwamba.

Nilimuona mara ya kwanza 2006 akifanya mikutano nchi nzima. Nasubiri kusahihishwa
 
Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti?

Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya leo?

View attachment 1937076
Ujinga nao ni mzigo mzito, Freeman Mbowe amezaliwa mwaka 1961 mwaka ambao Tanganyika ilipata uhuru.

Watu wengine ni hasara kwa Taifa na familia zenu.
 
Ila chadema ina watu wajinga wajinga sana jamani!

Ukiona michango ya mtu kama mmawia humu jf unabaki kucheka tu
Mjinga na mpuuzi mkubwa na wakanza na wa mwishoo ni wewe, kenge mkubwa wewe.
 
Usahihi kuhusu tarehe ni huu

14.9.1961 ni kuzaliwa kutoka ndani ya tumbo la mama yake. (kuzaliwa kimwili)

9.12.1961 ni siku ya ubatizo wake na kupewa jina la Freeman. (kuzaliwa kiroho)
Aiseee maajabu, mimi home hiko kitu hakipo na sijawahi kusikia mtu awe anasherehekea birthday yake eti kwa ubatizo.
 
Muda wote tulisheherekea Uhuru wa Tanganyika tarehe sawa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa ndiyo huwa siku ya kuzaliwa. Naona leo Familia imemuwish mapema sana kabla ya 9 December kufika kupita kipande cha Gazeti?

Nani aliudanganya UMMA kuwa freeman kazaliwa 9 December na Si tarehe 14 September ya leo?

View attachment 1937076
Tunakushukuru kwa kuendelea kufurahia siku ya kuzaliwa kwa Mtemi Isike au Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar, ni baraka sana kwa mtu huyu kuwemo nchi hii.
 
Back
Top Bottom