Nafasi za kazi Polisi, qualification “Raia wa Kuzaliwa” Vipi mawaziri wenye uraia wa kuomba gazetini?

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,463
2,289
Juzi nafasi za kazi nyeti ya polisi zimetoka.

Sharti la kwanza la kuomba kazi ni uwe raia wa kuzaliwa wa Tanzania.

Kumbe kuna tofauti ya uzito wa uraia wa Tanzania, sijui imeandikwa wapi kisheria.

Lakini kama ni suala la “busara” na sio sheria hivi waziri mwenye siri za cabinet sio muhimu kama polisi mwenye siri za wezi wa pikipiki ?

Tunakuwaje na viongozi wakubwa wenye uraia wa kuomba magazetini ?
 
Kuna vitu kwenye hii nchi ukivifwatilia sana utaumwa kichwa
 
Yaani mtu sio raia wa Tanzania alafu ameteuliwa uwaziri!!!! Hii nchi ina vyombo vya usalama na kufanya vetting kweli?....aiseee tumepigwa
 
Hivyo vigezo vimewekwa kama formality...
Ila hata hao siyo wa kuzaliwa wataingia...
 
Yaani mtu sio raia wa Tanzania alafu ameteuliwa uwaziri!!!! Hii nchi ina vyombo vya usalama na kufanya vetting kweli?....aiseee tumepigwa
Mbona mnatiririka bila kutupa mifano❕❕❕❕❕❕❔❔❔❓❓❓🤭
 
Back
Top Bottom