kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika kilimo cha matumizi ya teknolojia kunaweza kuwa kichocheo cha maendeleo makubwa ya kilimo Tanzania

    UTANGULIZI Tanzania, kama nchi nyingi zinazoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kilimo, ikiwa ni pamoja na uzalishaji mdogo, upotevu mkubwa wa mazao baada ya mavuno, na utegemezi mkubwa wa hali ya hewa. Hata hivyo, matumizi ya Teknolojia za Kilimo yanaweza kubadilisha hali hii na...
  2. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Unafikiria jinsi ya kuwekeza na kutengeneza hela kila siku online? Jaribu hapa

    UTANGULIZI Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting. Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao tunataka kuwekeza au kufanya biashara ili tutengeneze faida. Mifano hai ya kamali za maisha 1)...
  3. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza fedha

    Habarini WanaJF. Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
  4. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili

    Kuwekeza katika Afya ya Akili kwa Tanzania Yenye Afya ya Akili Utangulizi Afya ya akili ni sehemu muhimu ya afya na ustawi wa jumla. Hata hivyo, nchini Tanzania, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa au kudharauliwa. Hii imesababisha pengo kubwa la huduma, na kusababisha mateso yasiyo ya lazima...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni kuwekeza sana kwenye decorations za duka badala ya stock

    Mojawapo ya kosa kubwa sana la kiufundi kwa vijana wengi wadogo wanaoanza biashara ni kuwekeza pesa nyingi kwenye vitu ambavyo havirudishi pesa kwa haraka au pengine havirudishi kabisa. Vijana wanafungua maduka ila wengie hawafikishi mwaka mmoja wamefunga baada ya kushindwa biashara. Vijana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia

    Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
  7. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Investor(s) wa kuwekeza Dollar($) 1 Million kwenye kampuni ya teknolojia (Fintech)

    How do I futa this?
  8. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kama Serikali ikishirikiana na wawekezaji kuwekeza kwenye public Wi-Fi, Tanzania tuitakayo itakuja haraka sana

    Kitambo kidogo mtandao wa Internet ulikuwa anasa ila kulingana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mtandao umekuwa moja ya hitaji la binadamu. Kulingana na uchumi wa Afrika bado gharama za internet ni kubwa sana kulinganisha na hali za maisha mtaani. Mtandao wa Swahili Times ukimnukuu...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Uongezaji Thamani Madini Waitikia Wito wa Serikali Kuwekeza Kwenye Viwanda vya Uchenjuaji Madini Nchini

    WADAU WA UONGEZAJI THAMANI MADINI WAITIKIA WITO WA SERIKALI KUWEKEZA KWENYE VIWANDA VYA UCHENJUAJI MADINI NCHINI -Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya MAST na AKMENITE -_Viwanda vya Uchenjuaji madini kujengwa Ruvuma,Dodoma,Katavi na Lindi _ -Ujenzi wa viwanda kuanza mapema mwaka huu Waziri...
  10. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Je, unaamini katika kuwekeza? Nina wazo la biashara kuanzia 10/20m ( kuuza unlimited internet buku tu kwa siku mteja atatumia hata gb 500 yeye tu

    Habari ya uzima wanajanvi? Imani yangu nyote wazima wa afya na akili kwakuwa yupo alietuwezesha kupata nafasi hii mpaka sasa? Tusichoshane sanaaa Nina wazo la biashara ambalo linahusu usambazaji wa huduma ya internet isiokuwa na ukomo (Unlimited internet) kwa kutumia local network providers...
  11. Sexer

    JamiiForums Tanzania UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

    Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali. Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi Wakaribishwa Kuwekeza Katika Reli

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuboresha reli ya TAZARA pamoja na reli ya kutoka Dar es Salaam ,Tanga mpaka Kilimanjaro ili reli hizo ziweze kufanya kazi kwa ufanisi Mkubwa. Kihenzile ameyasema hayo kwenye kongamano la Reli...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Watanzania wahimizwa kuwekeza kwenye viwanda vya maziwa kulingana na malighafi zilizopo katika maeneo yao

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe Februari 7, 2024...
  14. Sega la asali

    JamiiForums Tanzania Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waalimu mnapaswa kuandamana kudai pensheni kamili, kikokotoo kwenye pensheni ni udhalim. Ni aibu kwa serikali kuwekeza kwenye vifo vya watumishi wake!

    Waalimu wa siku hizi hadi muambiwe kuwa hali za maisha yenu sio nzuri!? Juzi tu hapo serikali imekuja na kikokotoo cha pensheni za watumishi mkiwemo nyie waalimu. Watu mnakatwa pensheni yenu na mpo kimya tu?! Pensheni ni mali yenu na sio msaada kutoka serikalini, mnapaswa kuelewa kuwa...
  16. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza Katika Elimu ya Ajira na Ujasiriamali kwa Vijana

    Ajira kwa vijana imekuwa changamoto kubwa, na ni muhimu kutoa elimu inayolenga kuwawezesha kuchagua njia bora za maendeleo. Vijana wengi wanamaliza masomo yao na kukutana na ukosefu wa ajira bila uelewa wa changamoto za soko la ajira au fursa zilizopo kwenye ujasiriamali. Serikali inaweza...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

    Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji. Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors) ●TSMC Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

    Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo. Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini! Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, inaruhusiwa kuwekeza kwenye biashara ya kufuga nguruwe?

    Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam. Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini. Sasa...
Back
Top Bottom