kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

    Hello wanajf Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko tayari kumsuburia mdada njiani masaa 3 huku tukiumwa na mbu na kumfukuzia miezi 8 hata miaka,, ili tu...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
  4. nipo online

    JamiiForums Tanzania kuwekeza nguvu nyingi kwa mwanamke ni wastage of time

    Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,, Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa. Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
  5. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale Mnaotaka Kuwekeza Mwaka Huu Pitieni Hapa Hii Idea Inaweza Kuwafaa

    Kama unataka kuwekeza kwenye ufugaji samaki basi anza kufikiria kwenye uuzaji wa Vifaa vinavyotumika kwenye ufugaji samaki (fish farming facilities) au uzalishaji wa mbegu bora ya samaki (sato na kambale), huku ndipo kuna maslahi zaidi kuliko kufuga samaki na baadae kuuza samaki kama kitoweo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya, " Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo...
  7. Akotia

    JamiiForums Tanzania AzamTv kama wanaweza kuwekeza kwenye ligi ya kenya watakula bingo

    Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support. AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mwenye Mgahawa huu angekuja kuwekeza hapa Tanzania

    Huu mgahawa upo japani ni special kwa wavivu tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  10. Gerald1

    JamiiForums Tanzania ME NI TRAINER NAITAJ MTU MTU WA KUWEKEZA KATKA GYM ME NIWE TREINER WAKE

    NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 umeisha, mwaka 2025 wanaume tuache kuwekeza sana kwa wanawake wasio na mpango na sisi

    Habarini, Mainstream dating advice from media, na kutoka kwa baadhi ya wanawake na wanaume wanaotuzunguka inatuambia wanaume kuwa ukitaka upate mwanamke wa ndoto zako inatakiwa ufanye moja ya hivi vitu: MYTH NO: 1 1) Utafte hela na umhonge mdada pesa, na uwe na personality nzuri: UKWELI Pesa...
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  14. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza

    Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza. Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake. Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Adani Group kutumia Tsh. Trilioni 2.4 kuwekeza kwenye Umeme Tanzania

    Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900 (Tsh. Trilioni 2.4) na Dola Milioni 300 (Tsh. Bilioni 817). Mtandao wa India Times umeandika Kamishna...
  17. emmarki

    JamiiForums Tanzania BOT wamefungua dirisha la kuwekeza hati fungani

  18. R

    JamiiForums Tanzania Maprofesa, na viongozi waandamizi Tanzania wanakwama kujiari kwa sababu ya kuwekeza fikra kuajiriwa hata wanapostaafu

    Siku viongozi wastaafu wataacha kuteuliwa kwenye nafasi mbalimba itawasaidia sana kujiandaa kustaafu kwa angaliu kuwa na kipato chakuwawezesha kuishi uraiani kwa miaka mitano Viongozi wengi waandamizi wa serikali wanaishi kwa kuhudumiwa kila kitu na serikali. Wakistaafu wanajikuta hawana...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia Mkutano wa China na FOCAC, azungumzia Mipango ya China kuwekeza Dola Bilioni 50 Barani Afrika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024. Rais Samia...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tunawakosesha fursa wazawa kwa kuwekeza nguvu kwenye timu mbili za Kariakoo tu.

    Tangu nimsikie Mbwana Samatta katika jukwaa la kimataifa sijamsikia tena mzawa mwingine Mtanzania akiwa maarufu hapa Africa au duniani kwa ujumla katika sekta ya michezo. Huenda sababu mojawapo kubwa ni serikali na raia kuelekeza nguvu zao na focus yao yote katika vilabu viwili zaidi vya...
Back
Top Bottom