kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ntate Awasisitizi Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata Kuwekeza Katika UTT

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate, leo tarehe 10 Oktoba, 2023 ameendeSemina ya Watendaji wa Kata na Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Semina hiyo iliyohudhuriwa pia na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya na...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iende kuwekeza nguvu Zanzibar

    Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo. 1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tunawaza kuwekeza kwa tulivyonavyo huku kukitafuta tusivyokuwa nacho

    Tunapokuwa chini juhudi zetu huwa ni kusimama na tunaposimama juhudi zetu huwa ni kuhakikisha haturudi chini hivi vitu viwili vyote vinahitaji nguvu sawa. Hivyo fahamu tu kuwa mapambano yetu huwa hayaishii Kupata kitu kipya ila hata kupambania ulichonacho kisipotee ni mapambano pia. Endelea...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Vijana tuanze kujifunza kuwekeza mapema tupate uzoefu

    Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu, maana hawana uzoefu wowote wa biashara. "The younger you start, the more successful you'll be". Kujiajiri ni jambo linalofaa na kama unatengeneza brand nzuri na huduma na bidhaa zenye ubora, utafanikiwa sana miaka 5 tu mbele...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Diaspora wanatamani sana kuwekeza Tanzania tatizo watanzania wengi sio waaminifu

    Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka wa nchi yetu kuwekeza kwenye teknolojia ya Drones

    Nadhani wote ni mashahidi kupitia SMO kule Ukraine wa kitu gani haya madude yanaweza kufanya kwenye uwanja wa vita. Napendekeza jeshi letu liwekeze kwenye teknolojia hii ili kujiweka tayari,napendekeza kwa kuanzia kiwanda cha drone kijengwe Zanzibar. Au MK254 unasemaje
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

    Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar. Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 3,600 wa Muhimbili kupewa elimu ya fedha kabla ya kukopa au kuwekeza

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza. Ahadi hiyo...
  11. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania DP World hawakutaka kuwekeza Tanzania, walilazimishwa

    Baada ya kuona watanzania wamekataa mkataba wao uliohusu umiliki na uendeshaji bandari zote nchini Tanzania, DP World wameamua kufichua ukweli kwamba walilazimishwa kuwekeza Tanzania kutoka kwa Rais Samia, hivyo wamesema iliwabidi kuweka mkataba wa hovyo na usiokubalika ili kukataa uwekezaji...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Za jioni wadau, Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija? Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi. Natanguliza shukrani.
  13. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Je, vijana wa kitanzania wanafahamu juu ya faida za kuwekeza katika umri mdogo?

    Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji. Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo; 1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

    Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World? Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi? Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania TPDC kushirikiana na Kampuni ya China kuwekeza kwenye Gas

    Kampuni ya China National Offshore Oil Corporation (CNOOC) na Shirika la TPDCTZ kushirikiana katika uwekezaji katika sekta ya gesi nchini. Aidha, Kampuni ya CNOOC imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wengine katika uwekezaji wa ujenzi wa Bomba la Kusafirisha Mafuta kutoka Uganda hadi...
  18. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa tumewakataa DP World kuwekeza Bandarini, naomba tuwaruhusu sasa Wawekeze katika Akili zetu zilizolala

    GENTAMYCINE nina uhakika wa100% kuwa ile nguvu Kubwa iliyotumika kuwakataa Wawekezaji wa DP World ingetumika katika Kupinga Matatizo Makuu Saba ( 7 ) yanayoikabili Tanzania na Watanzania ya Upumbavu, Maradhi, Umasikini, Ushamba, Roho Mbaya, Wivu na Unafiki leo hii Tanzania ingekuwa mbali sana...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

    Hilo eneo (Coco Beach) Hayati Magufuli alikataa kabisa kupewa Watu (hasa Matajiri) wawekeze hapo akisema kuwa paachwe wazi ili hata Masikini akina GENTAMYCINE tuwe tunakuja Kutembea, Kuogelea na Kupunga Upepo mwanana wa Baharini (wenye Afya) bila tatizo. Cha Kushangaza na Kusikitisha tayari...
Back
Top Bottom