kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Unapouza mali usimwambie dalali unahitaji kiasi Fulani tu, akipata mteja mwenye dau nono yeye ndie atafaidika kuliko mwenye mali, weka asilimia %

    Kuna watanzania wengi hasa mikoani bado wanatumia huu mtindo wa kizamani, mali zao zinaishia kuwanufaisha madali. Mfano mwenye hati ya nyumba anamwambia dalali anahitaji mteja mwenye milioni 10, milioni 1 iwe ada ya udalali lakini dalali anapata mteja wa milioni 30. Kinachotokea hapo dalali...
  2. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Huu si upotevu wa fedha - Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuweka tangazo DSTV

    Kama Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inadai tumeshindwa kuendesha bandari, na hivyo DP World wanapewa waendeshe, kuna umuhimu gani wa TPA kuwa na tangazo DSTV, wakati hawana ufanisi na wanakwenda kuwaachia waarabu waendeshe? Naona tangazo lake likiunguruma Dstv channel 223.
  3. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Video: Aweka Rekodi mpya ya Riadha, Afisa asimamishwa kazi

    Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa. Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kamanda Ng'anzi: Kuweka Plate number yenye 3D sio kosa

    Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza Clouds FMkuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum. Chanzo: Clouds Media
  5. gango2

    JamiiForums Tanzania Sioni mantinki kulalamika katazo Plate Namba za 3D

    Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua 1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia. 2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  7. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Daladala wanakera sana kuweka mafuta katikati ya safari hasa ukiwa unataka kuwahi

    Hakuna kitu nisichokipenda kama nikipanda daladala, boda au bajaji especially when kuna foleni na unataka kuwahi wao wanaingia sheri kujaza mafuta. Hivi wanashindwa kuweka full tank na kujaza kila wanapomaliza trip kuliko kujaza katikati?
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

    Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa.... Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021! Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Inaitajika frame ya kuweka bucha ya Kitimoto (pork burchery)

    Wadau, Inaitajika frame ya kufungua bucha ya kitimoto, iwe sehemu yoyote yenye mzunguko mikubwa wa watu kwa dar es salaam. Nicheck kama unayo au mawazo. Ahsante
  10. B

    JamiiForums Tanzania DAR: Azam FC kuweka kambi ya wiki tatu Tunisia

    Klabu ya soka ya Azam, imetangaza ya kwamba, itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kambi itakuwa katika Mji wa Sousse nchini Tunisia. Jumapili ya wiki hii, kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kusafiri...
  11. Bizo ALBERT ROBERT

    JamiiForums Tanzania Udhibiti wa taka ngumu: kuthamini taka za kikaboniki ili kuweka jiji la Dar es Salaam katika hali safi

    USULI NA UHALALISHAJI Udhibiti wa taka ngumu ni muhimu kwa afya na ustawi wa mazingira. Kadiri ukuaji wa miji unavyoendelea na matumizi ya kimataifa yanaongezeka. Jiji la Dar as salaam linakabiliwa na changamoto mbalimbali za udhibiti, ukusanyaji, uhamisho, usindikaji na utupaji wa taka...
  12. Von_Lufuta

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nililoliona, Wazazi kuweni makini sana kuweka uangalizi kwa watoto wadogo wa kiume

    Habari zenu wakuu.. Hope mpo vizuri. Bila kupoteza muda, Wiki 3 zilizopita nikiwa Mkoa X, nilikutana na tukio la kusikitisha sana. Sio mimi tu, hata watu wa mtaa ule wanawake kwa wanaume waliishia kushika vichwa na wengine kumwaga machozi kabisa. Ilikuwa hivi.. Kuna nyumba fulani ambayo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuweka Misingi Bora Ya Uongozi Kwa Maendeleo Na Ustawi Wa Jamii

    KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT *** Utangulizi: Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu kubwa katika kufanikisha malengo haya. Hata hivyo, ili kufikia maendeleo na ustawi wa jamii, ni...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msambatavangu Aitaka Serikali Kuweka Imani kwa Wawekezaji wa Ndani

    . MSABATAVANGU AITAKA SERIKALI KUWEKA IMANI KWA WAWEKEZAJI WA NDANI "Mmeanza kutubagua watanzania kwa kuwapa watu wenye uwezo wa fedha tusio na uwezo tusiwekeze kwakuwa miradi yetu ni midogomidogo, hao mabilionea ndiyo wawekeze 'This is not right' ni lazima watanzania wapewe fursa sawa ya...
  16. Kijana Jr

    JamiiForums Tanzania Hatua muhimu kwenye kuweka wiring (umeme)

    Habari wakuu Mpangilio sahihi wa mawasiliano ya umeme ni hatua muhimu zaidi katika nyumba yako. Ni kwamba haiwezekani kuanza ufungaji wa wiring bila mpangilio na hatua sahihi, Hatua na mpangilio sahihi wa wiring sio tu kwa majengo mapya hata ambayo sio mpya. kusudi kuu la wiring...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tunajikumbusha kidogo tu ili kuweka kumbukumbu sawa

    1907. Ujenzi wa reli ya kati Wazee wetu walichapwa sana mijeledi Malaria pia ikawamaliza Mjerumani amekataa kutoa takwimu
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi ili kukuza uchumi

    Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
  19. Apollo

    JamiiForums Tanzania Uber itaanza kuweka matangazo kwenye App yake

    Uber itaanza kuweka matangazo katika app zake mbili, app ya Uber ambayo inatumika kuita usafiri (gari, bajaji, pikipiki n.k) na katika app ya Uber Eats. Watumiaji wa app hizi wataona matangazo wakati wa kutafuta usafiri, kusubiri usafiri kufika na wakati wa safari. Matangazo (Ads) yatakuwa ni...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti Kuu, 2023-2024: Kodi kufutwa kwa kila line ya simu kulingana na uwezo wa kuweka salio

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio. "Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili...
Back
Top Bottom