kuvunjika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo sahihi sana. Je, muungano si unaweza kuvunjika wakati wowote tukabaki na mikataba ovyo iliyosainiwa na wageni?

    Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano. Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na...
  3. Crala kidoti

    JamiiForums Tanzania Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Habari jf ni Crala Kidoti tena. Hii issue ilimtokea mdogo wangu mwaka 2019 upande wa baba mkubwa wangu. Dogo alikuwa na mchumba wa kike aliyedumu nae kwa miaka miwili kwenye uchumba. Hatimaye wakafunga ndoa mwaka 2019 mwenzi wa 3, na mkewe alimpata na kuwa mchumba wake baada ya kuachana na...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

    Hello wanachama wa jamiiforums leo ningependa niweke mkasa wangu baada ya kuwa msomaji wa humu ndani kwa muda mrefu. Niliwahi kuwa na mke hapo miaka ya 2018 hadi 2021, pia nina mtoto moja ambae hadi sasa yupo kwa mama yake japo huwa naenda kumcheki. Ni mwaka 2017 nilipokutana na huyu binti...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  6. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi mahusiano mengi yanaenda kuvunjika

    Mimi kesho nasafiri kwenda Zanzibar na Mchepuko Wangu. Kurudi Dar ni Mpaka Tarehe 30.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza kuzuia wimbi la ndoa kuvunjika tuoane ndugu wa karibu

    Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee. Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi. Hili likifanyika litapunguza...
  8. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Wabunge wafunguka sababu za kuvunjika kwa ndoa

  9. Sirdick Mashally

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuvunjika kwa ndoa ya dada kulivyoathiri afya ya mtoto wake

    Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha isiyokifani, tulisherehekea kana kwamba hakukuwahi kutokea wala hapatatokea tena harusi kwenye ukoo wetu...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!

    Wanabodi, Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano. Wiki iliyopita nilianza kwa kuitambulisha Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC na kusema hii ni Jumuiya...
  11. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tamthilia na Mpira zinavyochangia migogoro ya ndoa

    Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao wakitangulia kulala peke yao au kukosa wa kuzungumza nao mambo mengine ya kimaisha Vitendo hivyo vinafanya...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wasiokula nyama wako hatarini kuvunjika mifupa kadiri umri unavyoendelea

    Tafiti iliyofanyika Uingereza ilijumlisha watu 26,000 wenye umri kati ya miaka 26-60. Imeonyesha kuwa ulaji wa nyama unatoa virutubisho vinavyosaidia mwili kuimarisha mifupa. Idadi kubwa ya wanaofanyiwa upasuaji kwa matatizo ya mifupa hasa ya nyonga ni wanawake na wengi ni wale walioacha au...
  13. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Ndege ya DHL yaanguka na kuvunjika vipande viwili

    Ajali imetokea huku Costa Rica pale ilipojaribu kutua kwa dharura . Tariifa zaidi zitawajia === A Boeing 757-200 cargo aircraft operated by DHL has made a dramatic emergency landing at Costa Rica’s Juan Santamaria international airport, skidded off the runway and broke in two, losing its...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kumbe ni kweli, ukikanyaga yai haliwezi kuvunjika, leo nimejaribu

    Watoto wangu walipotoka shule wamenieleza walichojifunza shuleni. Kwamba yai ukiliweka kwenye upright position yaani liwe kama limesima ukilikanyaga kwa juu haliwezi kuvunjika hata mzito kiasi gani huwezi kuvunja. Nimejaribu sana leo mchana lakini sijafanikiwa. Kwa maana nyingine unaweza...
  15. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ifahamu milango minne ya kuingia katika mahusiano na sababu za kuvunjika au kufanikiwa kwa mahusiano hayo!

    Amani kwenu Wakuu. Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine. Bila shaka utakubaliana...
  16. mama D

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

    Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
  17. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kisa cha nyumba ya nyasi kijijini chasababisha ndoa kuvunjika

    Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza. Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
  18. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

    Habari wandugu Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa kushupaza shingo ni kuvunjika kwa hiyo shingo

    Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha aibu namna hiyo, ni aibu kubwa, tena uko nyumbani kwako. Simba ilichobakiza ni kuendelea kutegemea...
Back
Top Bottom