Algeria, Nigeria, Niger waingia mkataba wa kuuza gesi bara Uropa, dah! pole kwa Mrusi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,370
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......

To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a memorandum of understanding on Thursday to build a 4,000-kilometer (2,500-mile) Trans-Saharan Gas Pipeline.

Algeria's Energy Ministry said the natural gas pipeline would stretch across the Sahara desert.

It is estimated that, once the $13 billion (€12.75 billion) pipeline is complete, it will transport up to 30 billion cubic meters (1 trillion cubic feet) of gas annually from Nigeria, in West Africa, north through Niger and on to Algeria.

From there, it could be pumped through the undersea
 
Tunashabikia vita ambayo inatuathiri sisi kuliko hata wanaopigana,Africa tutalipa gharama kubwa kwa ushabiki wetu wa vita hii,kuisha mapema kwa vita hii ambayo Russia imevamia nchi nyingine huru ,after all vipi gas yetu bado tunaiweka akiba?,why hatuuzi?,Mozambique ameshaingiza FLNG ya pili Ruvuma River kuvuna gas zaidi
 
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......

To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a memorandum of understanding on Thursday to build a 4,000-kilometer (2,500-mile) Trans-Saharan Gas Pipeline.

Algeria's Energy Ministry said the natural gas pipeline would stretch across the Sahara desert.

It is estimated that, once the $13 billion (€12.75 billion) pipeline is complete, it will transport up to 30 billion cubic meters (1 trillion cubic feet) of gas annually from Nigeria, in West Africa, north through Niger and on to Algeria.

From there, it could be pumped through the undersea
Dah habari mbaya sana kwa sie warusi wa bonyokwa, ila kwa jinsi kgb putin alivyo kichwa atauharibu huo mpango kabla hata haujaanza putin kamatia hapohapo
 
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa......

To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas imports — and Algeria, Niger and Nigeria are looking to cash in.
Algeria, Niger and Nigeria signed a memorandum of understanding on Thursday to build a 4,000-kilometer (2,500-mile) Trans-Saharan Gas Pipeline.

Algeria's Energy Ministry said the natural gas pipeline would stretch across the Sahara desert.

It is estimated that, once the $13 billion (€12.75 billion) pipeline is complete, it will transport up to 30 billion cubic meters (1 trillion cubic feet) of gas annually from Nigeria, in West Africa, north through Niger and on to Algeria.

From there, it could be pumped through the undersea
Haiwezi kuwa soln mahususi kwa sasa bado watahaha sana.
 
Gesi wanaweza kuipata tu.......ishu je ni cheap gas??? Maana mshindani wao mkubwa hasa kiviwanda ni mchina na wenzake wa asia na hao ndo sasa hivi wanajipatia magesi na mafuta kwa bei ya kutupa bidhaa za hao wa ulaya zitaweza kuja kushindana na za mchina ambazo zitazalishwq kwa bei ya chini kabisa??? Hapa ni mchezo tu wa hesabu.......Hilo ndo game la master wa chess mzee baba Putin
 
USD 13 billion gharama? Tunaongelea EU Mzee it is not about Hoima - Tanga pipeline mradi ambao toka enzi za Jiwe hadi leo unazinduliwa kila mwaka!
Hela ipo ila je gharama ya uzalishaji itakua ni ya ushindani??? Ubepari unahitaji cheap resources ili utengeneze faida kubwa.......na cheap resources kwa sasa anazipata mchina na mwenzie muhindi.............vita ya kiuchumi anayoitaka mmarekani na mchina ataiweza kwa upepo huu???
 
Ifikapo mmwaka 2027 ,Germany atakua full out kutegemea ges ya mrus ,na mafuta yake ,.mrusi anaacha pesa za ukweli anakimbilia ubabe,kweli kiongoz hatakiwi kukaa madarakani mda mrefu maana anafika sehemu akili zinamtoka
Mpaka kufikia huko Germany atakuwa ameporomoka kiuchumi.Germany ndiyo lilkuwa Taifa lenye nguvu za Uchumi Ulaya kutokana na ushwahiba wake na Putin! Kitu ambacho US ilikuwa haitaki kukiona.
 
Treni iliyobeba vifaa vya kijeshi vya China imepita katika reli ya mwendo kasi huko Hangzhou (Mkoa wa Zhejiang)-eneo la Kamandi ya Mashariki ya jeshi la China. Kwa sasa haijajulikana vinaenda wapi ila kwa mwelekeo ni Mkoa wa Fujian, ambao uko katika mwelekeo wa Taiwan. https://t.co/toaQSKd24a
 
Back
Top Bottom