kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuzikumbuke timu zilizowahi kutamba zamani katika ligi kuu na sasa zimesahaulika

    Uzi maalum wa kuzikimbuka timu mbali mbali zilizowahi kutamba miaka ya nyuma na nyinginezo zilifika hadi ligi kuu. Taja timu moja tu umor nafasi na mwenzako ataje anayoijua. Mimi naanza na Vijana Ilala a.k.a Wanakabakayeka ilikuwa na maskani yake Ilala sijui kama bado ipo au ilishakufa, endelea…
  2. JamiiForums Tanzania Nadhani tatizo kuu la umasikini wa Watanzania linaanzia hapa...

    Unajijua kabisa huna Uwezo ( Fedha ) na Maisha mazuri kama GENTAMYCINE halafu kila mwaka Unampachika tu Mimba Mkeo huku ukiwa na sababu ya Kipumbavu ( Kipopoma ) kuwa kila Mtoto anakuja na Baraka zake.
  3. JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Helo Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunna Tanzania (BASUTA) Wameshutumu Vikali kile wamepita Undumilakuwili na Ukosefu wa Uadilifu Kwa Wanaopinga mkataba wa Bandari kwa kile wameita kugumbia macho Mikataba ya hovyo iliyowahi ingiwa hapo kabla. --- Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu: Akiba ya fedha za kigeni inatosha kwa miezi minne

    Jumanne, Agosti 22, 2023 Benki kuu ya Tanzania BoT imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa Dola za Marekani bilioni 5.41 ambacho kinatosha kuagiza bidhaa za nje kwa miezi minne na siku 27. Dar es Salaam. Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imesema akiba ya fedha za Kigeni hadi jana ilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Bosi wa Wagner atangaza hatua kuu 'kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi'

    Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo. Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner inaendelea kuajiri na inafanya kazi kwa bidii "kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi," mkuu wa kundi hilo, Evgeny...
  6. JamiiForums Tanzania Tuangalie na kusikiliza hekima zilizo kuu za Mh. Lukuvi, tutapata jambo hapa.

    Binafsi katika think tank ambazo nimeona utendaji wake live pale ardhi ni huyu mwamba, na ni kilio changu kila siku arudishwe ardhi,kwani utendaji kwa binafsi yangu,dawati la kinondoni,ni shida, Get listen!👇
  7. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Akiba ya dola za Kimarekani yakauka Benki Kuu ya Tanzania

    Hili sakata la dola linanivuruga sana, ukifuatia kulikuwa na taarifa mtandaoni kuwa Tanzania kuna uhaba wa dola Za kimarekani. Sasa naona tena kuna taarifa inazagaa mtandaoni kuwa BoT akiba hiyo imekauka kabisa, na si dola pekee sasa hadi shilingi ya Tanzania nayo imekauka. Kuna ukweli hapa...
  8. JamiiForums Tanzania Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu

    Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi. Ndege hiyo, iliyokuwa na abiria sita na wafanyakazi wawili wa ndege, iliondoka kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu za Mabasi Kigoma na Kaliua- Mabwana Afya wajipime

    Salaamu Wakuu: Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sote tuitikie: Kazi Iendelee! Moja kwa moja kwenye mada. Mbali na utaratibu mzuri walionao uongozi wa stendi wa kuwaelekeza utaratibu wa hapo stendi wasafiri wanaotumia eneo hilo wakati wa alfajiri; bado Bwana Afya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu, Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  11. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Umezinduliwa Kwenye Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA UMEZINDULIWA KWENYE HOSPITAL KUU YA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumanne, tarehe 9.8.2023, Mkuu wa Wilaya wa Musoma (DC), Dkt Khalifan Haule amezindua utoaji wa Huduma mbalimbali za Afya kwenye Hospitali ya Halmashauri yetu ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) Hospitali imejengwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nashauri Azam FC wawape Yanga SC points zao Sita ( 6 ) za Ligi Kuu ya NBC kabla hawajacheza nao

    Haiwezekani kila mkikutana na Yanga SC mnarudia makosa yale yale yanayowagharimu na Kufungwa kila mkikutana. Yaani Kocha mwenye Akili anaweza kumuweka Nje Kipa namba moja wa Timu aliyekuwa amekaa Benchini? Hivi Wachezaji kama Kipre Jr, Amoah na Idi Nado ni wa kutoanza katika First Eleven ya...
  13. JamiiForums Tanzania Unabii juu ya tawara zote duniani,Tanzania kuwa jiwe kuu la pembeni.

    . Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala. Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza kwanini ardhi imekubali kumpokea wakati bado tunamwitaji? Nikiwa katika usingizi,tazama nilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

    Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu...
  15. JamiiForums Tanzania Simba wasipochukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu patachimbika

    Linapokuja swala la ushabiki hapa Bongo, ni wazi kuna timu mbili zenye ushawishi na mashabiki wengi. Hapa nazungumzia Simba na Yanga. Kuhusu mashabiki wa timu hizi mbili kuna utofauti kama ifuatavyo, -Yanga ina mashabiki waelewa hata kama timu yao ikifanya vibaya bado wataendelea kui-support...
  16. JamiiForums Tanzania Nawaalika nyote katika Kipaimara cha mwanangu kwa Sharti moja tu, uwe umekula utokako

    Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu. Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa kwenda mbele kwa wageni waalikwa huku bia moja mkiwa mnashea watu watatu. Kuhusu nyimbo ambazo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kariakoo pako hovyo hapaeleweki kama sio soko kuu la nchi na majirani

    Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ukurasa wa Facebook wa Benki Kuu ya Zambia wadukuliwa

    Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo Umma utakapoarifiwa kurejeshwa kwake. BoZ imesema "Tunasikitika kuufahamisha umma kuhusu tukio la...
  19. JamiiForums Tanzania Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA kuhusu suala la Bandari

    MAAZIMIO YA KAMATI KUU JUU YA MKATABA WA BANDARI. 1) Kamati Kuu inalitaka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuta azimio lake la kuridhia mkataba wa uendeshaji wa Bandari nchini kwa sababu mkataba huo hauna maslahi yoyote kwa nchi yetu. 2) Kamati Kuu inaitaka Serikali kuwachukulia hatua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…