Ukurasa wa Facebook wa Benki Kuu ya Zambia wadukuliwa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
1690195807866.png

Kwa mujibu wa taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (BoZ) aliyethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo, amewataka Wananchi kutojibu ujumbe wowote utakaotumwa kutoka kwenye akaunti hiyo hadi hapo Umma utakapoarifiwa kurejeshwa kwake.

BoZ imesema "Tunasikitika kuufahamisha umma kuhusu tukio la Udukuzi wa Mtandao ulioathiri ukurasa wa Facebook wa Benki Kuu. Tunafanya uhakiki wa kina kwa kushirikiana na vyombo vya sheria ili kuhakikisha kuwa sauala hili linashughulikiwa."

Hata hivyo, Serikali imewahakikishia wananchi kuwa tukio hilo haliathiri Ulinzi na Usalama wa Taarifa Binfasi za Fedha za Wateja kwa sababu mifumo mikuu ya Benki Kuu haijadukuliwa na iko salama.

===========

The Bank of Zambia has confirmed a cyber security breach that compromised its official Facebook page, which saw hackers replace the bank’s profile and cover pictures with an image of an unknown man and woman in a romantic embrace, leading to memes and jokes flooding the internet.

The bank says the incident is under investigation.

"The Bank of Zambia regrets to inform members of the public about the cyber security incident affecting the Bank's Facebook page. We are conducting a thorough review of the incident and working closely with relevant law enforcement to ensure that it is addressed," a statement read.

The Bank of Zambia said it was working to restore the Facebook page to full functionality as soon as possible.

It urged its customers and the public to remain cautious and vigilant about potential phishing attempts or suspicious activities.

Officials also assured the public that the incident does not affect the safety and security of customer financial information, as the central bank's core systems remain secure.

DIGGERS/BBC
 
View attachment 2697746

Bongo lendi tuna la kujifunza hapa
 
Back
Top Bottom