sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
YANGA
Singida
SIMBA
Coastal
Mtibwa
Namungo
Ihefu
Tuendelee
Singida
SIMBA
Coastal
Mtibwa
Namungo
Ihefu
Tuendelee
AahaaaaaSimba ndiyo wamevunja rekodi! Coastal Union, Namungo, Ihefu, Mtibwa, nk. Ahueni Azam wao wameamua kujitoa kwenye huo upuuzi.
Kwa upande wa Yanga..... naona kama wana kaukaribu hivi na Singida United (Big stars/fountain gate)!! Sijui ni yule jamaa anayeitwa Madelu ndiyo amesababisha!!!