Nawaalika nyote katika Kipaimara cha mwanangu kwa Sharti moja tu, uwe umekula utokako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,032
Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu.

Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa kwenda mbele kwa wageni waalikwa huku bia moja mkiwa mnashea watu watatu.

Kuhusu nyimbo ambazo nimemuomba Dj wangu awe anazipiga (tena akizirudia rudia) ni hii mpya ya Ney wa Mitego iliyofungiwa na wanoko TCRA na nyimbo zote mpya za Roma Mkatoliki alizozitunga kuanzia tarehe 17 Machi, 2021. Hivyo kama huzipendi ni bora hata usije tu shughulini kwangu.

Mwisho katika hii mhughuli ya Mwanangu GENTAMYCINE Junior sitaki watu wa makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi waje kwani hawana hadhi za kuhudhuria sherehe kubwa na za kifahari za Wazanaki (watu kutoka Mkoa wa Mashujaa, Werevu na Wababe kama Vladmir Putin) wa Mara (Musoma).

Jirani yangu Mbezi Beach, jirani na baa tunayogombea mabaamedi wazuri 24/7 ya Sinde Bujibuji Simba Nyamaume ni matumaini yangu makubwa mualiko umeupata na tutakuwa pamoja kuanzia mchana wa baade Saa 6.

Na mkija shughulini mjikite tu kwa yaliyowaleta siyo muanze kupeleleza/kudadisi GENTAMYCINE yuko wapi au ndiyo yupi kwani hamtanijua hata mfanyeje kwakuwa kifa Kuu niliyonayo ni kuwa kama kinyonga ila ulipo jua nami nipo.

Karibuni nyote tu na ninawapenda.
 
Uwe umeshamaliza Kula huko huko Kwako utokako au Unakodoeaga kila Siku Chakula ndiyo uje katika Shughuli ya Mwanangu.

Na ukija Shughulini Kwangu Vinywaji ni mwendo tu wa Juice za U-Fresh kwa kwenda mbele kwa Wageni Waalikwa huku Bia Moja mkiwa Mnashea Watu Watatu.

Kuhusu Nyimbo ambazo nimemuomba Dj wangu awe anazipiga ( tena akizirudia rudia ) ni hii Mpya ya Ney wa Mitego iliyofungiwa na Wanoko TCRA na Nyimbo zote mpya za Roma Mkatoliki alizozitunga kuanzia tarehe 17 Machi, 2021 hivyo kama huzipendi ni bora hata usije tu Shughulini Kwangu.

Mwisho katika hii Shughuli ya Mwanangu GENTAMYCINE Junior sitaki Watu wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi waje kwani hawana Hadhi za Kuhudhuria Sherehe Kubwa na za Kifahari za Wazanaki ( Watu kutoka Mkoa wa Mashujaa, Werevu na Wababe kama Vladmir Putin ) wa Mara ( Musoma.

Jirani yangu Mbezi Beach jirani na Baa tunayogombea Mabaamedi wazuri 24/7 ya Sinde Bujibuji Simba Nyamaume ni matumaini yangu makubwa mualiko umeupata na tutakuwa pamoja kuanzia Mchana wa baade Saa 6.

Na mkija Shughulini mjikite tu kwa yaliyowaleta siyo muanze Kupeleleza / Kudadisi GENTAMYCINE yuko wapi au ndiyo yupi kwani hamtanijua hata mfanyeje kwakuwa Sifa Kuu niliyonayo ni kuwa kama Kinyonga ila ulipo jua nami nipo.

Karibuni nyote na Ninawapendeni!!
Nitakuwepo
 
Na mkija Shughulini mjikite tu kwa yaliyowaleta siyo muanze Kupeleleza / Kudadisi GENTAMYCINE yuko wapi au ndiyo yupi kwani hamtanijua hata mfanyeje kwakuwa Sifa Kuu niliyonayo ni kuwa kama Kinyonga ila ulipo jua nami nipo.
 
Nitakuwepo
Naona leo nimeokoa Bajeti yako ya Kula mchana. Haya tukiwa pale Shughulini tafadhali tukaushiane kama vile Sisi hatujuani na siyo Prominent Members wa hapa JamiiForums sawa?

Na ole wako ujisahau uniite kwa Jina langu hili la GENTAMYCINE utanitambua na kujua ni kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko.
 
Mkuu nimewaonya mapema sana hapo.
 
Naona leo nimeokoa Bajeti yako ya Kula mchana. Haya tukiwa pale Shughulini tafadhali tukaushiane kama vile Sisi hatujuani na siyo Prominent Members wa hapa JamiiForums sawa?

Na ole wako ujisahau uniite kwa Jina langu hili la GENTAMYCINE utanitambua na kujua ni kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo na Nyoka hana Ugoko.
Hahah hahah
 
Hakikisha uwe umeshamaliza kula huko huko kwako utokako au unakodoeaga kila siku ndiyo uje katika shughuli ya mwanangu.

Na ukija shughulini kwangu vinywaji ni mwendo tu wa juice za u-fresh kwa kwenda mbele kwa wageni waalikwa huku bia moja mkiwa mnashea watu watatu.

Kuhusu nyimbo ambazo nimemuomba Dj wangu awe anazipiga (tena akizirudia rudia) ni hii mpya ya Ney wa Mitego iliyofungiwa na wanoko TCRA na nyimbo zote mpya za Roma Mkatoliki alizozitunga kuanzia tarehe 17 Machi, 2021. Hivyo kama huzipendi ni bora hata usije tu shughulini kwangu.

Mwisho katika hii mhughuli ya Mwanangu GENTAMYCINE Junior sitaki watu wa makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi waje kwani hawana hadhi za kuhudhuria sherehe kubwa na za kifahari za Wazanaki (watu kutoka Mkoa wa Mashujaa, Werevu na Wababe kama Vladmir Putin) wa Mara (Musoma).

Jirani yangu Mbezi Beach, jirani na baa tunayogombea mabaamedi wazuri 24/7 ya Sinde Bujibuji Simba Nyamaume ni matumaini yangu makubwa mualiko umeupata na tutakuwa pamoja kuanzia mchana wa baade Saa 6.

Na mkija shughulini mjikite tu kwa yaliyowaleta siyo muanze kupeleleza/kudadisi GENTAMYCINE yuko wapi au ndiyo yupi kwani hamtanijua hata mfanyeje kwakuwa kifa Kuu niliyonayo ni kuwa kama kinyonga ila ulipo jua nami nipo.

Karibuni nyote tu na ninawapenda.
Ndiyo umaandika nini wewe! Hivi akili kichwani zimo nadhani hata Certificate ya Journalism huna. Huko SAUT ulisomea nini?
 
Kabla ya Kukurupuka hivi Kunijibu ( kwa Kiherehere chako ) kama Mbegu zs Kiume ( Shahawa ) za Awali uliangalia huu Uzi nimeuweka katika Jukwaa gani Pumbavu Mmoja tukuka Wewe?

SAUT nilienda Kusomea jinsi ya Kumsaidia Kazi ya Kibaiolojia Baba yako ( baada ya Kuishindwa rasmi ) kwa yule aliyeteseka Kukutunza katika Mfuko wake wa Kibaiolojia na hatimaye kukusukuma kuwa nasi hapa duniani.
 
.
20230512_231025.jpg
 
Ona sasa! Unazidi kuonesha ulivyo na matatizo ya kichwa! Akina mkono wana bahati mbaya
 
Una uhakika Waliokuleta duniani na Wao pia hawana hayo Matatizo ya Kichwani unayoyaona Kwangu?

Idiot.
 
Kama waliyonayo Waliokuleta duniani.

Idiot.
Naamini ujumbe umeupata na Usisahau haya maandishi kwa vile JF siyo yako, kuna siku wajukuu wako watayasoma na sijui kama watajisikia vizuri!

Kwa umri wako unaona ni sawa ila kumbuka kesho. Unaweza sema hakuna anayekufahamu hapa, sometimes shit happens - naamini maana ya msemo huo unaufahamu. Si vizuri kujitoa akili wakati hujui kesho.

Wajibu wangu mkuu ni kusaidia watu kama wewe ili wajitafakari. Ndo maana sitishiki na matusi.
 
Anza Kwanza kuwasaidia Waliokuzaa kwani yawezekana Wao wakawa na tatizo Kubwa zaidi yangu kwa Kutuzalia Nincompoop Wewe hapa duniani.
 
Back
Top Bottom