kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benaya-

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anajisikiaje Jeshi la Polisi kutumika kisiasa?

    Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa? Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Cuba yatoa ruhusa kutumia chanjo ya Covid-19 iliyotengenezwa nchini humo

    Hatimaye mamlaka ya udhibiti wa dawa nchini Cuba imetoa ruhusa ya dharura kwa matumizi ya Chanjo iliyozalishwa locally nchini Cuba. Hongera kwa kujitambua CUBA! ===== Cuba begins mass Covid-19 vaccine inoculation before concluding trials Carmen Sesin Cuba began the mass inoculation of...
  3. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  4. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Yanga 3- Ruvu Shooting 2: Ni Kweli Golikipa Metacha B.Mnata anahisiwa kuwa mzembe ama kutumika "kuiuza" timu?

    Kongole kwa wachezaji wetu, Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda. Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa. Je Metacha Mnata...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Sheria ipi ya soka iliyofutwa ambayo unatamani ingeendelea kutumika?

    Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa. Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena. Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Mbinu za Kimila za kuiangusha Kaizer Chiefs zaanza kutumika

  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Ulanzi hauwezi kutumika kuendeshea magari?

    Wakuu nchi kama Brazil sehemu kubwa ya magari yake yanatumia pombe kama nishati. Mengine yanatumia mchanganyiko wa mafuta na pombe. Wamarekani nao hawako nyuma, hawa pombe yao inatokana na mahindi. Pombe huko Brazili inatokana na miwa. Na kiukweli future ya nishati ya magari ni pombe. Kuna...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

    Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa. Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

    Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti. Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
  10. mediaman

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani gari likikaa miezi sita bila kutumika?

    Wakuu, naomba kujua iwapo gari langu nililolipaki mahala karibia miezi sita sasa litakuwa na shida siku nikianza kuliendesha tena.
  11. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Wasanii acheni kutumika kwa kiki kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya C.A.G, kuna waliopewa pesa

    Wasanii muachege kutumika vibaya aisee. Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu. Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki. Nyie wasanii ndo maana...
  12. jogoo_dume

    JamiiForums Tanzania Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

    Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya. Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa. Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani. Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa...
Back
Top Bottom