Yanga 3- Ruvu Shooting 2: Ni Kweli Golikipa Metacha B.Mnata anahisiwa kuwa mzembe ama kutumika "kuiuza" timu?

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
12,077
12,756
Kongole kwa wachezaji wetu,

Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda.

Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa.

Je Metacha Mnata anastahili shutuma hizi apewazo?

Je Metacha yule aliyetubeba katika ushindi ule wa 3-3 kufikia sisi mashabiki kumtunza "MIHELA" pale uwanjani ,kweli anastahili kuzodolewa na KUSHAMBULIA KWA MANENO KIASI HIKI CHA LEO?

Metacha Mnata ni kijana mdogo ,kipa mzuri na hazina kwa taifa.

Hebu tulidadavue hili kiweledi.

#MbeleDaimaNyumaMwiko
#StaunchSupporterOfDarYoungAfricansSC
 

Attachments

  • VID_20210618_123228_965.mp4
    7.5 MB
  • VID_20210618_123222_125.mp4
    6.9 MB
1623967917218.png
 
Kwa uzoefu wangu katika eneo la goalkeeping,zile goli anafungwa mtu yoyote.

Japo magoli kama yale huchukuliwa kama udhaifu au ubovu wa mlinda mlango lakini ma- football analyst wanajua kwanini kitu kama kile kime happen.kwa haraka haraka tu ni kwasababu

1: shambulio lilikua la kushitukiza, yaani namaanisha mpigaji wa kombora hakuwa katika tempo au hakujiandaa kikamilifu kipiga shoot, hii huwa inasababisha golie kukaba zaidi kwa nafasi, na ukiangalia kwa makini Metacha alikua amekaba far post, so ambacho kingeweza muokoa Metacha pekee ni diving skills.

2: unsight by defenders, Metacha alikua amazengwa na mabeki wake mwenyewe waliokuwa wamekaba nafasi pia so ilikua ni ngumu kwake kufanya save.

Note: mogoli kama haya ni kawaida kufungwa hata magolikipa wanao aminika kwa kujikumbusha tu
1) De gea (Russia 2018)
2) Roberti green ( south Africa 2010)
3) Manula (Caf &Vpl)

Mogoli haya hupunguza kujiamini kwa makipa na sometimes husababisha ku-drop kwa viwango vyao, mfano hai ni aliekua kipa wa Liverpool uefa final 2018 Klarius.
 
Kwa uzoefu wangu katika eneo la goalkeeping,zile goli anafungwa mtu yoyote.

Japo magoli kama yale huchukuliwa kama udhaifu au ubovu wa mlinda mlango lakini ma- football analyst wanajua kwanini kitu kama kile kime happen.kwa haraka haraka tu ni kwasababu..
👍👍
 
🤣🤣Mapaka FC bnaaaa....
Shida haswa ni nini utopolo?maana nimeona video nyingi uto wakisema kwa sasa team inacheza vizuri nikajiuliza kwani zamani ilikuwaje?

Mbona lawama kwa Karia?yaani nyie watu wa kutia huruma sana nawaombea Azam wapate nafasi ya pili hatuwezi kwenda na wapuuzi kwenye champions league tumehangaikia sana nafasi 4 ,hatuwezi kuambatana na wajingawajinga nyie muende na biashara kwenye shirikisho
 
Back
Top Bottom