Wasanii acheni kutumika kwa kiki kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya C.A.G, kuna waliopewa pesa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,361
2,000
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee.

Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu.

Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki.

Nyie wasanii ndo maana mnafika mahali mnafilisika maana mnatumiwa vibaya sana.

Yaani unaambiwa mfufue kiki kwa maagizo ya mtu fulani ili tu mtoe watu kwenye reli ya mjadala wa ripoti ya CAG kisa mnamdefend mtu fulani hivi.

Mnamlinda huyo swahiba wenu kisa katajwa kwenye repoti.

Nachokiandika nakijua na aliyewapa pesa anajulikana kwa jina la code #njeyabox

Kuna baadhi ya wasanii wamegeuka mawakala wa kuzima mambo nchini hawajui ni jinsi gani haya mambo yanaliumiza taifa.

Inaudhi mno.
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
415
1,000
Watu tumegawanyika mkuu kuna wapenda siasa, wapenda udaku na wapenda vyote. Kilicho na uzito bado kitaendelea kutrend tu ripoti ya CAG ina uzito ndio maana bado inajadiliwa humu JF na sio huo ujinga wa hao jamaa.

Wapo ambao wako busy na hio skendo lakini kama sio mpenzi wa hizo skendo haiwezi kukutoa kwenye reli kufatilia mambo unayopenda hata kidogo.

Labda uwe chovyachovya huku upo na kule upo.
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
4,781
2,000
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee.

Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu.

Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki.

Nyie wasanii ndo maana mnafika mahali mnafilisika maana mnatumiwa vibaya sana.

Yaani unaambiwa mfufue kiki kwa maagizo ya mtu fulani ili tu mtoe watu kwenye reli ya mjadala wa ripoti ya CAG kisa mnamdefend mtu fulani hivi.

Mnamlinda huyo swahiba wenu kisa katajwa kwenye repoti.

Nachokiandika nakijua na aliyewapa pesa anajulikana kwa jina la code #njeyabox

Kuna baadhi ya wasanii wamegeuka mawakala wa kuzima mambo nchini hawajui ni jinsi gani haya mambo yanaliumiza taifa.

Inaudhi mno.
Huyu CAG toka ameanzaaa kusema hatua gani imechukuliwa? yaani mnapiga domo usiku mnalala, ebu waacheni wasanii waishi maisha yao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom