Zuchu amkimbiza vibaya mno Harmonize licha ya kutumia maroboti

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube

Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje?

Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida roboti sijui zimeharibika? 🀣🀣🀣 maana moto alopelekewa huko si wa kitoto
Screenshot_20210729-171746.png
Screenshot_20210729-171904.png
 
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube

Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje?

Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida roboti sijui zimeharibika? 🀣🀣🀣 maana moto alopelekewa huko si wa kitoto
View attachment 1873051View attachment 1873052
Sasa mbona wote wapo views milioni 6+kwa 6+?
 
Kama harmonize anatumia robots wewe unapungukiwa na nini ndugu yangu?
 
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube

Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje?

Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida roboti sijui zimeharibika? maana moto alopelekewa huko si wa kitoto
View attachment 1873051View attachment 1873052
Wote hao watu wa mariboti..mtoto wa kike na marorboti ya bosi wake,mmakonde nae anayo kama yote siku hizi
 
Back
Top Bottom