kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yanga yajaribu kutumia njia za uani kuingia CAF Super League

    Wakati timu zitakazoshiriki duru la kwanza la mashindano mapya ya CAF linajulikana, na zimechaguliwa kutokana na ubora wake wa miaka ya hivi karibuni, katika hali ya kushangaza, timu ya Yanga kupitia kwa serikali imewapigia magoti CAF kuomba ipewe nafasi pia ya kushiriki mashindano hayo...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
  3. JamiiForums Tanzania Nilikuwa mdau mkubwa wa Vpn za free internet ila nikasanda, nililazimika nizihame moja kwa moja, kutumia vpn hapa bongo yahitaji moyo

    Off course vpn za kutumia internet bure zina faida zake ikiwemo kuokoa gharama na nikiri niliwahi kuwa mdau lakini kuna kipindi nilichoka aisee, ilibidi nizihame moja kwa moja. -siku yoyote inafungiwa hakuna uhakika itadumu -Hapa bongo hatuna wabunifu wa kubuni mbinu zao kwa vpn ili hata...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

    Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake. Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN?

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN? Naomba kufahamishwa
  6. JamiiForums Tanzania Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa ofisi ya serikali kutumia pesa kuweka bango la kuwaka?

    Juzi nimepita sehemu nikaona ofisi ya TANESCO ina bango kubwa la kuwaka, kama yale ya kwenye vituo vya mafuta. Nikajiuliza, hawa wanafanya kazi usiku kuhitaji bangi la namna hii? Lile bango ni gharama, sidhani kama linapungua 5m na bila shaka yamewekwa ofisi zote za TANESCO nchini. Ni sahihi...
  9. JamiiForums Tanzania Refa asimamishwa baada ya kutumia VAR feki

    Refa asimamishwa kazi kwa kutumia simu ya shabaki kukataa goli Mwamuzi wa Misri Mohamed Farouk amesimamishwa kazi kwa kutumia simu ya mtazamaji kukataa bao katika mechi ya ligi. Al-Nasr walidhani walikuwa wamefunga bao la kusawazisha dakika za lala salama wakiwa ugenini kwa Suez katika mechi...
  10. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand awazuia watoto wake kutumia TikTok na Snapchat

    Beki huyo wa zamani wa Manchester United amedai kuwa amefanya hivyo kwa kuwa anaamini mitandao hiyo inaweza kuwachanganya na kuwatoa kwenye uhusiano mzuri kutokana na aina ya mahudhui yanayoendelea Amesema anataka kuwaweka kwenye nafasi nzuri ya kujitambua na kutotegemea maisha ya mitandao ya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Kenya lashutumiwa kutumia nguvu kubwa kudhibiti Waandamanaji

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji. Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini inatumika "Mama Samia" badala ya Rais Samia?

    Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia? Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
  13. JamiiForums Tanzania Nilikuwa Gumzo shule nzima baada ya kutumia hela ya ada

    Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne. Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kadri teknolojia ya computer inavyozidi kujitosheleza kwenye simu, umepunguza au umeacha kabisa kutumia laptop na desktop ?

    Sote ni mashuhuda wa jinsi teknolojia ya computer inavyozidi kuboreshwa kwenye simu za kiasasa smartphones, vitu kibao ambavyo zamani vilitulazimu kuvifanya kwenye desktop au laptop siku hizi tunavifanya kwenye smart phones hasa ukizingatia. Software kibao sikuhizi hata kwenye simu zipo na pia...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaotumia simu ya laini moja na kutembea na ya ziada kwa laini ya pili huwa hamuoni unafuu kutumia simu zenye laini 2?

    Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada. Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili. Simu zenye laini mbili si kama wengi...
  17. JamiiForums Tanzania Msisafishe masikio kwa kutumia pamba, sikio lina utaratibu wa kujisafisha lenyewe

    Dkt. Jane Bazilio ambaye ni Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi anaelezea kuhusu afya ya sikio. Anasema "Watu wengi wamekuwa na matatizo ya kupata fangasi kwenye masikio, natoa wito kwa Wananchi kuwa wakati wa kuoga wasiingize maji kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu

    Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

    Baada ya Vladmir Putin kutangaza kuwa Taifa hilo linapinga ndoa za jinsia moja, ilipelekea watu wengi sana wa dunia ya tatu kumuunga mkono licha ya udhalimu wake wa kupeleka majeshi Ukraine kuivamia ardhi ya nchi hiyo ili kupora baadhi ya maeneo. Uungwaji mkono huu wa Vladmir Putin kutoka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…