kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kutoka bara kuwa kiongozi Zanzibar ni ngumu tofauti na kutoka Zanzibar na kuwa kiongozi bara?

    WanaJF Kuna swali huwa linanitatiza kwa nini ni Rahisi sana Kwa mwanasiasa toka Zanzibar kuja kupata uongozi bara lakini ni nadra kusikia mtu wa bara kapata uongozi Zanzibar?
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  3. JamiiForums Tanzania Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

    Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo. Nchi tunazosafurisha Magari. 1. Kenya 2. Uganda 3. Rwanda 4. Burundi 5. Zambia 6. Malawi 7. Congo DRC 8. Tanzania Ducoments muhumu: 1. Interpol, 2. SADC 3. Police clearance...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mzazi peleka jicho lako hapa: Watoto wa kiume na unyanyasaji wa kijinsia kutoka kwa wasichana wa kazi

    Wakuu, Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao. Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Ujerumani umedorora baada ya kukosa Gesi ya bei nafuu kutoka Russia

    Germany went from envy of the world to the worst-performing major developed economy. What happened? ESSEN, Germany (AP) — For most of this century, Germany racked up one economic success after another, dominating global markets for high-end products like luxury cars and industrial machinery...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA mbadili utoaji hotuba katika mikutano kutoka kuhabarisha na kuwa ya kutia hasira ya mabadiliko

    Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa sababu wanainchi wengi wanajua hakuna ambacho kinaweza kuitoa madarakani CCM. Kwani wapige kura...
  7. JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Muziki wa Rumba ni ngoma gani kalii na album kalii unaikubali kutoka kwa Fally Ipupa

    Album zake ni 1.Tokooos 2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7. Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kutoka maktaba: Enzi hizo Hamis anasuka

    Ni Hamisi akiwa na Marehemu Amina, miaka inakimbia sana.
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 30 za kuishinikiza Serikali kuachana na mkataba wa DPW na kudai katiba Mpya, tunaomba assurance kutoka kwa mawakili

    Kiukweli binafsi naamini ndiyo siku ambayo itakuwa ya kihistoria katika Taifa langu la Tanganyika. Naamini pia mabadiliko makubwa yatatokea. Sasa Kuna inshu lazima kuwaonea hofu wananchi ambao watajitolea kupambania haki zetu kutoka kwa mafisadi wa nchi hii. Kama tunavyoelewa asilimia kubwa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Watafiti 47 ambao wameshinda tuzo watangazwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Salam wadau Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado. Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili 1. Kufungua akaunti ya dola...
  16. JamiiForums Tanzania Gharama za makato kutoka Skrill kwenda Airtel money

    Habari wakuu Kwa wale watumiaji wa E-wallets haswa Skrill , ninaona wameongeza huduma ya kutoa pesa kwenda Mobile money! Nimejaribu kuangalia makato (Fee) yake kwa kupitia Airtel money naona kama charges zipo juu sana. Vipi ni njia gani nafuu mnazotumia ndugu zangu?
  17. JamiiForums Tanzania Pocket WiFi/Mifi kutoka Airtel

    OFA OFA OFA!!!!!! Jipatie Pocket WiFi kutoka Airtel inayo unganisha vifaa zaidi ya 10 na kasi Hadi Mbps 30, pia utapokea offer ya GB 20 mwaka mzima Vifurushi: ⚡Elfu 10 Gb 10.5 ⚡Elfu 20 Gb 22 ⚡Elfu 30 GB 35 ⚡Elfu 50 GB 75 ⚡Elfu 75 GB 100 ⚡Laki 1 GB 200 📞Mawasiliano 0742772122 ⚖️Vigezo na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wanahisa wa NPC KIUTA wafungiwa kiwandani kwa siku tatu, wagoma kutoka wakidai Kiwanda chao kinauzwa kitapeli

    Watumishi na Wanahisa waliofungiwa ndani ya Kiwanda cha NPC KIUTA kutokana na mgogoro unaoendelea. Wafanyakazi wa Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa au NPC National Printing Company Limited (KIUTA) ambacho kwa ufupi kunatambulika kwa jina la NPC KIUTA wanapitia wakati mgumu, baadhi yao wakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

    Wadau wa jamii naomba kujua hili, Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako? Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
  20. JamiiForums Tanzania Wakomunisti ni watu pekee wanaojua namna bora ya kutwaa madaraka kutoka kwa watawala

    Licha ya kwamba si kubaliani na mambo kadha wa kadha yanayo tekelezwa na wakomunisti lakini kuna baadhi ya mambo wanajitahidi mfano kuweka dini na siasa mbali hilo moja. Leo tuizungumzie namna ambavyo mbinu za wakomunisti kwangu ndizo mbinu bora kutwaa madaraka kutoka kwa watawala wapuuzi. Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…