kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni miaka 60 sasa tangu mchezaji wa mwisho kuhama moja kwa moja kutoka Man Utd kwenda Liverpool

    Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964. Man Utd & Liverpool ni wapinzani kweli katika mpira na uhasama wao ulifanya mechi zao ziwe zinachezwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Ukingonoka' na Wanawake kutoka Malawi waliojazana Tanzania wala huwa 'hawajihangaishi' kukuambia uvae Condom?

    Naanza sasa kupata Hisia kuwa huenda Taifa la Malawi lina Agenda Ovu na ya Siri na Tanzania na Watanzania. Walianza na kutuletea Panya wao hawa wa sasa wenye Mkia mfupi, wanalia kama wanapiga Miluzi na ambao ukiwawekea Sumu hawafi hawaliwi na Paka na wala hawana Kasi ya Kukimbia kama ikitokea...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yabainika kutoa Ksh.147B kinyume cha sheria kutoka kwenye Mfuko wa Pamoja

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Matumizi ya Bajeti Zilizorekebishwa, imefunua jinsi serikali ilivyotumia bilioni 147 za shilingi bila idhini ya Bunge la Kitaifa. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu Nancy Gathungu, inaonesha kuwa jumla ya bilioni 595 za shilingi...
  4. JamiiForums Tanzania Bilionea kutoka India, 𝗔dani ainunua TICTS kutoka kwa Karamagi na Manek

    KAMPUNI inayomilikiwa na kampuni ya Gautam Adani, ambaye ni miongoni mwa matajiri wakubwa duniani, imenunua Kituo cha Kimataifa cha Huduma za Makontena Tanzania (TICTS), ambacho wakurugenzi wake waanzilishi ni pamoja na wafanyabiashara wazawa Nazir Karamagi na Yogesh Manek. Thamani ya mkataba...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi/soko la dagaa kutoka Tanga aina ya Uwono

    Habari wana JF, Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yajadili namna ya ununuzi wa dawa adimu kutoka Cuba

    Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na Wakurugenzi wa Wizara ya Afya leo Februari 2, 2024 wmekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Bw. Humphrey Polepole, wadau wa Hospitali, MSD pamoja na Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA)...
  8. D

    JamiiForums Tanzania M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtumishi anayehama kutoka halmashauri kwenda taasisi iliyopo chini ya wizara nyingine

    Hello wana JF, Hivi mtumishi anayehama kutoka Halmashauri kwenda Taasisi nyingine liyopo chini ya Wizara baada ya kuomba nafasi hiyo kupitia AJIRA PORTAL na akaipata, je huyu akienda kuripoti atapata ile pesa ya kujikumu ya siku 14 kama waajiriwa wanaoanza kazi serikalini au yeye atahesabiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kabila linaweza kubadilika kutoka kabila moja hadi jingine?

    Huwa ninawashangaa watu wanaojisifia makabila yao katika msingi wa damu. Naamini, kama vipimo vya DNA vingefanyika, kuna watu wangejishangaa kufahamu kuwa hawana uhusiano wa damu na kabila analojinasibu nalo. Kabila, kwa mtazamo wangu, msingi wake ni utamaduni na si damu. Miaka ya nyuma...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ijengwe Barabara ya lami kutoka Karatu-Meatu-Bariadi na Meatu-Kolandoto-Shinyanga, Mafuta yachukuliwe Tanga utaona mabadiliko makubwa sana

    Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda watachukulia mafuta bandari ya Tanga, Dsm ni mbali na kuna msongamano mkubwa. Pili barabara ya njia 4...
  12. S

    JamiiForums Tanzania My dream in Malawi, ndoto inayoweza kuwa movie bora kutoka Afrika 2024

    Wakuu niko usingizini najikuta mimi na wanajeshi wenzangu (japo mimi sio mwanajeshi) tumetumwa nchini Malawi kupeleleza mienendo ya kikundi cha uasi kinachoweza kuzusha vita katika nchi hiyo. Tukiwa katika kijiji kimoja ambacho kinakaliwa na waasi inatokea majeshi ya nchi hiyo wanashambulia...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Upungufu wa umeme umepungua kutoka Megawati 400 hadi 144

    Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026. Hayo yameelezwa leo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

    Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda kutoka kwa Shehe Omari Mnyeshani

    Nimeamua kuuandika kwa vile upo YouTube, lakini sikubaliani wala kupingana na msimuliaji. Ni ushuhuda wa bwana mmoja anayejiita Shehe Omari Mnyeshani, Mchawi wa "zamani". Anadai kuwa kabla ya kuukimbia uchawi, alikuwa Mwenyekiti wa wachawi Tanzania na nje ya Tanzania. Ikiwa anayoyaongea yana...
  16. JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni, kuna kitu cha kujifunza kutoka Hamas

    Mimi ni pro Israel kweli kweli. Ila ni mtu mwenye msimamo wa kujifunza kutoka kwa mtu yeyote hata kama ni adui Yangu Ukweli ni kwamba safari hii Israel amekutana na kisiki. Vita hii ni ngumu sana kwa Israel. Haijawahi kutokea tangu kuundwa kwa taifa la Israel. Vita zote za nyuma Israel alikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa walioolewa: Ulikutaje Nyumba au Chumba chako uliporudi kutoka Safari ambayo ulienda peke yako bila Mwenza?

    Nilibahatika kumsindikiza dada mmoja kwake na mizigo yake akiwa amerudi safari. Sasa ile namsaidia kuiingiza vitu ndani, sebuleni nilichokiona ni hatari! Kweli sisi wanaume ni wachafu ila yule jamaa noma, gamboot na tope zake ndani, soksi juu ya meza, chupa za soda chini ya meza, mabuibui...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

    Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi, hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…