kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gareth Frank Bale: Lulu ya Soka kutoka Wales

    Gareth Bale, mchezaji wa soka kutoka Wales, mara nyingi huonekana kuwa ni moja ya hazina kubwa katika ulimwengu wa kandanda, haswa kutokana na ustadi wake wa kipekee, uimara, na uchezaji thabiti uwanjani umemfanya kuwa mtu wa kuheshimika sana katika mchezo wa soka. Ni ngumu kuzungumzia mafanikio...
  2. JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyerere halmashauri ya mji wa Bunda jifunze kutoka kwa mtendaji wa mtaa wa Nyerere anavyozingatia utawala bora

    Ni ushauri tu kwa ndugu yetu Ndugu Hamis Nyamsenda,Mwenyekiti wa mtaa wa Nyerere ulio katika halmashauri ya mji wa Bunda.Binafsi andiko hili halina maana kwamba tunakuchukia bali tumeamua kufanya haya ili ubadilike na kuwa kiongozi bora. Binafsi umekuwa ukiitisha mikutano ya hadhara ambapo...
  4. JamiiForums Tanzania Barabara za TASAF ni kuwatesa wananchi halafu mbona hazina usimamizi mzuri kutoka kwa wataalamu wa barabara?

    Habari... Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Business and Property Registration Agency( BPRA) nahitaji majibu kutoka kwenu

    Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA. Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dalili 5 za Mtoto aliyekosa umakini au uhusiano Mzuri kutoka kwa Mzazi

    Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati: Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo Kuwa na Hasira za Haraka: Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake Anakuwa Sio Mtulivu: Mtoto...
  7. JamiiForums Tanzania Kimsingi Polisi hawana matatizo yoyote na Wananchi, Picha hii kutoka Arusha ni Ushahidi kamili

    Mara zote tumewashutumu polisi humu jf na kwingineko , na hata tumefikia na kuazimia kulivunja Jeshi hilo ilii liundwe upya, Lakini kiukweli Polisi ni watu wazuri tu , Shida kubwa ni hao viongozi wao wanaotaka kila askari awe mtumwa wa CCM, kwa vile wao wameteuliwa na Mwenyekiti wa CCM kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

    Nipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja. Kabla ya jana, nilioneshwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Simba hamutoweza kutoka hapo mlipo hadi mjifunze kunyamaza

    Habari wanajukwaa Langu Pendwa hapa Jf Jukwaa la Sports. Ni siku takribani 3 saiv zimepita toka Team Bora kwa sasa Young Africans alimaarufu kama Yanga imbamize Mwarabu goli 4 pale kwa Mkapa na kujihakikishia kusonga hatua inayofuata. Baada ya Ushindi ule tumeshuhudia Utani Mwingi sana sehemu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  12. JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye official page ya CAF: Yanga to the quarter final

    Hii ni kutoka kwenye official page ya CAF wameeleza Yanga imeshaingi robo fainali regardless na matokeo ya mechi ya Mwisho. Picha inajieleza.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bashe, Tofauti ya Sukari Kutoka Brazil vs itokayo Zambia na Uganda ni ipi?

    Salaam, Shalom!! Tunaambiwa tusubiri mwezi tena Ili tupate sukari ya kututosha, Ningependa kujua nini maana ya dharura? Yaani tusubiri bunge likae ndipo libadili taratibu za kuwaondolea viwanda kuwa waagizaji pekee? Kwanini lisitoke tamko la dharura kuruhusu wafanyabiashara kuagiza sukari...
  14. JamiiForums Tanzania Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

    Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serengeti Queens wamekula 3 kutoka kwa vitukuuu wa Madiba

    Mechi imeisha kwa Serengeti girls kupata kipigo cha 5 kasoro 2 yaani 0-3 ndani ya Azam Complex. Mwendelezo wa machungu ya AFCON.
  16. JamiiForums Tanzania TRA mnajisikiaje kukamua kodi kutoka kwa wafanyabiashara wanaopata hasara kwa kukosa umeme na maji?

    TRA Tanzania hii hoja naiweka mezani kwenu. Mnakusanya kodi kwa niaba yetu ili tuweze kuwekeza kwenye maendeleo ya nchi. Lakini sasa, serikali inashindwa kuprovide umeme wa uhakika na kupelekea gharama za uzalishaji kuwa juu kwa sababu ya kutumia vyanzo mbadala vya nishati ya umeme. Anguko la...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanga wa Bluu kutoka Simu na Taa za LED za Ofisi Unaweza Kuwa 'Sumu', Wasema Wanasayansi

    Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'. Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Picha ya siku kutoka Mbalizi, Mbeya

    Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo
  19. JamiiForums Tanzania Brazil imemfukuza balozi wa Israel, na kumrudisha wa kwao kutoka Israel

    Wanaukumbi. Brazil ilimfukuza tu balozi wao wa Israel, na kuwarudisha wa kwao kutoka Israel. Hili ni tendo la kupongezwa linalopaswa kurudiwa na mataifa yote. Israel na Netanyahu wapuuzi sana wanavyowapelekesha Ulaya na Marekani wanadhani wanaweza kufokea kila taifa Netanyahu na Mawaziri wake...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…