Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

Miss Iron

Member
Oct 1, 2023
10
16
Wakuu habari....

Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024

kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294

NB..Posta na ATCL hapana.
 
Wakuu habari....

Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 1 may 2024

kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294

NB..Posta na ATCL hapana.
Tarehe zako ziko sawa? Naona kama vile muda umekutupa mkono 😳
 
Back
Top Bottom